Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

kahtaan

1.lowassa+by+g.sengo+17.jpg

1.lowassa+by+g.sengo+19.jpg

Unaweka picha ya Mgalatia kavaa kanzu na joho inahusiana nini na mada?
Au toka umenunue hicho kimeo cha chuang hue umeona pa kujaribia ni Jf sio?

Ugalatia Mtihani sana.
 
Last edited by a moderator:
Lakini ile dini ya africa iko wapi?naona sasa yote nataka nakuwa dini ya arabs na Europeans,zamani africans naenda porini naomba huko halafu hamna gomvi sasa ona problem.
 
katika kupiga story na babu yangu aliniambia enzi za mwalimu kuna kakitabu kalikua kanaitwa the animal's farm kalikoandikwa na George orwell. eti mwalimu alikapiga marufuku nchini maana maudhui yake yalikua yanaisema serikali . kwa mwenye uelewa zaidi Tafadhali naomba msaada wenu. kama ni kweli nitamdharau sana hayati huyu
 
Weka ushahidi siyo porojo lini Nyerere alianzisha harakati Tanzania nzima.

Hamna matusi inawezekana umehathirika na seminary unakuwa na wasiwasi.

Msome Nyerere mwenyewe hapa chini.

‘"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.-

Nakuhakikishia kwamba Wazee wa Kariakoo hawakuwa na Ujasiri wa kumkabili Mzungu.Nyerere alianza Siasa kuanzia Makerere alipoanzisha Umoja wa wanafunzi wa Tanganyika.Kumkabili Mzungu sio Suala la Lelemama.Lilihitaji Mtu Jasiri.Kumbuka kumkabili Mkoloni kunaweza kupelekea hata adhabu ya Kifo.Nyerere alikuwa na Busara nyingi ndio maana aliweza kuwahadaa Wazungu mpaka Tukapata uhuru bila kumwaga Damu tofauti na Nchi nyingi za Kiafrika.Kwa Mtu aliyezoea kukaa Vibarazani,Kunywa Kahawa na Kupiga Hadithi za Kuonewa ni ngumu sana kumtoa Mzungu.Jiulize,Kama Marehemu tu mpaka sasa mnamlaumu pamoja na mema mengi aliyoyafanya vipi kwa Mkoloni aliyekuwa anawacharaza Viboko!!!!!!!!!!.Wazee wa Kariakoo kamwe wasingethubutu na wasingeweza kumtoa Mkoloni.Ni sawa na Zanzibar alipoibuka John Okelo katikati yao na kumchomoa Sultani.
 
Polepole tu utaijua Dini ya kweli maadamu unajitahidi kusoma Biblia.Achana na huyo unayemwabudu maana naye adhabu yake ipo kwa kupotosha wana wa Ulimwengu.Endelea kusoma usife moyo maana utajua kwa nini Wakristo wana Amani mioyoni mwao.Hawana Jazba,Wastaarabu,wana malezi Bora,wanajitahidi kutoa elimu na Matibabu kwa Jamii na Wepesi kustukia Utapeli.Huweki kukuta wakristo wakilalamika eti taifa fulani linatuchonganisha ili tupigane nk.Jitahidi uje kwenye Nuru ili tuungane kuhubiri Upendo tutokomeze Ugaidi.
 
JF siyo sehemu ya porojo usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mapuya na kuleta JF.

Umeyapata wapi hayo maneno.

Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.

Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA?-Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.-Nilipelekwa na Kasela Bantu - ambaye naye aliteleza-teleza na hatunaye hapa (kwenye mkutano). Kasela Bantu alikuwa mwalimu mwenzangu. Tulifundisha pamoja Milambo. Nilipokuja Dar es Salaam, nikakuta anafanya kazi Redio (Tanganyika Broadcasting Corporation). Ni Kasela Bantu aliyenipeleka kwa Sykes.Wakati huo mambo yalikuwa yanasinzia kidogo. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo Anautouglou. Kwenye mkutano huu wakanichagua kuwa Rais wao – wa TAA.Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana – cha matatizo.-Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana – katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru.Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).

Hayo ni maneno ya Nyerere sasa wewe tuambie hizi porojo zako umezitoa wapi
 
Sheikh UBWABWA
 
we natumia nini kufukiri?nani nauza africans kuliko watu yote?christians.nani nauwa binadamu nyingi duniani?yiroshima,hitler,roman empire,world war 1,2 etc yote christians.nani nainvent colonisation? christians.nani naazisha silaha hatari ya kuua vatu?christians.hindi na Buddhism ndiyo peace ingene yote sawa.
 
Polepole tu utaijua Dini ya kweli maadamu unajitahidi kusoma Biblia.Achana na huyo unayemwabudu maana naye adhabu yake ipo kwa kupotosha wana wa Ulimwengu.Endelea kusoma usife moyo maana utajua kwa nini Wakristo wana Amani mioyoni mwao.Hawana Jazba,Wastaarabu,wana malezi Bora,wanajitahidi kutoa elimu na Matibabu kwa Jamii na Wepesi kustukia Utapeli.Huweki kukuta wakristo wakilalamika eti taifa fulani linatuchonganisha ili tupigane nk.Jitahidi uje kwenye Nuru ili tuungane kuhubiri Upendo tutokomeze Ugaidi.
Halafu slave trade imeuwa 17 million innocent africans.KKK america nauwa ngapi?I can't believe africans nasema hizi dini zuri hawa nauza nyie kama vanyama,halafu leo nasifiana dini hizi?
 
Kumbe UKRISTO ni Dini?
Leo ndio naskia Hii habari.

Sasa km Ugaidi ni Kitu Kibaya Mbona BIBILIA Inausifia toka Gaidi SAMSONI auwe Watu Alfu 3 bila makosa?
Au Hilo andiko Limechakachuliwa?
 
JF siyo sehemu ya porojo usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mapuya na kuleta JF.

Umeyapata wapi hayo maneno.

Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.

Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA?-Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.-Nilipelekwa na Kasela Bantu - ambaye naye aliteleza-teleza na hatunaye hapa (kwenye mkutano). Kasela Bantu alikuwa mwalimu mwenzangu. Tulifundisha pamoja Milambo. Nilipokuja Dar es Salaam, nikakuta anafanya kazi Redio (Tanganyika Broadcasting Corporation). Ni Kasela Bantu aliyenipeleka kwa Sykes.Wakati huo mambo yalikuwa yanasinzia kidogo. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo Anautouglou. Kwenye mkutano huu wakanichagua kuwa Rais wao – wa TAA.Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana – cha matatizo.-Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana – katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru.Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).

Hayo ni maneno ya Nyerere sasa wewe tuambie hizi porojo zako umezitoa wapi

Mimi sitaki kuleta kitu kipya maana najua mmeshakaririshwa.Kwenye Bold inaonyesha Msomi alikuwa Kasela Bantu,Hawa wazee wa Kariakoo walikuwa na Ujanja ujanja wa Mjini kwa sababu walifika Burma vitani kama Mgambo enzi za Idd Amin maana hakuna sehemu wanayoonyesha walikuwa Wanajeshi.Nyerere pamoja na Udogo wake na Kiswahili kibovu lakini waliona ndie anayefaa kumkabili Mzungu(Hapa ni ushahidi mwingine kwamba wazee wa kariakoo walikuwa hawana Ujasiri wa kumkabili Mkoloni ikabidi wajisalimishe kwa kijana mdogo tena asiyejua hata kiswahili).Kwenye Nyekundu Nyerere ndie aliyeitengeneza Katiba ikwa na Malengo ya Kuikomboa Tanganyika(Huu ni Ushahidi mwingine kwamba wazee wa Kariakoo walikuwa hawajui kwamba Tabora,Arusha,Mwanza na Ruvuma ni sehemu ya Tanganyika).uwezo wao wa kufikiri ulizunguka Mitaa ya Kariakoo mpaka Muhimbili na kumalizikia Posta.
 
Wacha uongo wewe, point yangu ilikuwa si lazima uwe na PhD ndiyo uitwe daktari nikatoa hata mfano wa Dr. Manyaunyau.Nikimaanisha kuwa, ikiwa mtu anataka kukuita Daktari si lazima wewe uwe daktari wa kweli na wale wanaosema Kikwete anjiita Dr. nasema si kweli, ni watu wanamuita Dokta sijamsikiapo akijitambulisha hata mara moja kuwa mimi ni Dr Kikwete.Hali kadhalika Nyerere kwa wegi waliosema hawajasikia wala kuona Nyerere akijiita Dr., nnawauliza walimsikia Kikwete akijiita Dr.?
Point No. 5, umedai Nyerere alisingiziwa kuwa mtanzani wa kwaza kupata Masters degree wakati akina Kibasila, Sewa na Mhimbili walikuwa na PhD tayari . Swali langu lilikuwa hao watu walikuwa na PhD gani? Sijahoji mtu kuitwa Dr bila PhD. Huyo Manyaunyau nishakwambia simjui labda tumzungumzie Prof. Maji Marefu!!
 
Kumbe UKRISTO ni Dini?
Leo ndio naskia Hii habari.

Sasa km Ugaidi ni Kitu Kibaya Mbona BIBILIA Inausifia toka Gaidi SAMSONI auwe Watu Alfu 3 bila makosa?
Au Hilo andiko Limechakachuliwa?

Usitie shaka utaelewa tu.Jiamini na tambua kwamba hujachelewa kumjua mfalme wa Amani.Ukishamjua hutakimbizana kulaumu Marehemu.Utajiona ni mtu mwenye uwezo,Utaacha kulalamika,Utajitathmini mwenyewe na kujitambua kwamba wewe ni wa thamani.Damu ya Yesu inaponya Majeraha yote na inateketeza Ibada za Kishetani.Acha Woga,Jiamini,Sali kwa Jina la Yesu na Pata Elimu bora hautalalamika tena.
 
Mimi sitaki kuleta kitu kipya maana najua mmeshakaririshwa.Kwenye Bold inaonyesha Msomi alikuwa Kasela Bantu,Hawa wazee wa Kariakoo walikuwa na Ujanja ujanja wa Mjini kwa sababu walifika Burma vitani kama Mgambo enzi za Idd Amin maana hakuna sehemu wanayoonyesha walikuwa Wanajeshi.Nyerere pamoja na Udogo wake na Kiswahili kibovu lakini waliona ndie anayefaa kumkabili Mzungu(Hapa ni ushahidi mwingine kwamba wazee wa kariakoo walikuwa hawana Ujasiri wa kumkabili Mkoloni ikabidi wajisalimishe kwa kijana mdogo tena asiyejua hata kiswahili).Kwenye Nyekundu Nyerere ndie aliyeitengeneza Katiba ikwa na Malengo ya Kuikomboa Tanganyika(Huu ni Ushahidi mwingine kwamba wazee wa Kariakoo walikuwa hawajui kwamba Tabora,Arusha,Mwanza na Ruvuma ni sehemu ya Tanganyika).uwezo wao wa kufikiri ulizunguka Mitaa ya Kariakoo mpaka Muhimbili na kumalizikia Posta.
Ndiyo maana nakuambia usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mapuya na kuleta bila data.

Msome tena Nyerere hapa chini.

Miezi minne baada ya kuanza kazi Pugu nikawa ninakuja Dar es Salaam, kwa mguu; kila Jumamosi. Baadaye wazee wakanipa baiskeli nikawa ninakuja mjini kukutana na wenzangu; kufanya mikutano.-Hivyo ndivyo tulivyofanya. Wazee wakaniamini upesi sana. Tukawa na uhusiano mkubwa sana. Wadogo wenzangu wengine walikuwa Abdul Sykes, Abass Sykes (mdogo wake), Dosa Aziz – waliokuwa wengi ni wazee.-

Wewe ulivyokuwa punguani unawadharau hawa wazee wa Kariakoo wakati Nyerere anaeleza walivyomsaidia mpaka baiskeli wakamnunulia kijana wao wewe pumba unaandika uharo tu bila ushihidi wowote.

Eti Kasella Bantu msomi, unamjua Mwapachu alikuwa na Elimu gani? Fundikila alikuwa na Elimu gani?
 
Halafu slave trade imeuwa 17 million innocent africans.KKK america nauwa ngapi?I can't believe africans nasema hizi dini zuri hawa nauza nyie kama vanyama,halafu leo nasifiana dini hizi?

Walau wewe una Hoja ya kufikirisha ila jitahidi kujifunza na Lugha aliyotuachia Mwl.Nyerere.
 
Back
Top Bottom