Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Wengi wanamsifia nyerere aidha wanasikia hotuba zake hizi baada ya kuwa yupo benchi , alikua hodari na mjuzi wa kukosoa ,
Wengi hawakuona utawala wake kwa macho. Hawakusikia miaka ile kuwa hotuba zake zilikua za vitisho tu.
kuna wakati Sadam alimhukumu mawaziri wake kwenye mkutano wa hadhara na wale wakapotezwa , ni ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu kufanywa nabSadam Hussein.MKosaji akikosa mpeleke mahakamani hata kama mahakama ina walakini lakini unafat sheria za nchi.
Nyerere huyu huyu 1968 pale mnazi mmoja mbele ya mkutano wa hadhara aliwakamata balozi wa TAnzania marekani OThman Sharif na MAkamo wa rais wa ZAnzibar akawaleta pale mnazi mmoja wakiwa na pingu, akawahukumu pale , yeye akawa mahakama akawa shahidi na mwendesha mashataka. Akawatoa na kuwambia mnakwenda Zanzibar mukamalizwe.
Hawakuonekana tena hata makaburi yao.
Tukimzungumza hatufanyi udini, lakini wanaomtetea bila shaka ni wakristo kwa sababu walifaidi na aliwapendelea mnoo akawajaza kila mahala.

Kuna mmoja alisema NYerere aliondoa ukabila , hata siku moja , alichoondoa ni mishahara ya machifu , ila machifu walikuwepo m
Na mpaka leo wapo.
Wakati ule ukienda NIC BIma utafhani upo MBeya , wanyachusa watupu , hivo hivo NBC , atc, THB, TRA ,kila sehemu mkuu akiwa kabila fulani basi timu nzima kutoka nyumbani. Haya yalifanyika akiyajua na hakuyakemea hata siku moja , thn tunakuja hapa kudsnganyana.
Aliyofanya iddi amni ya kunyanganya watu na yeye alifanya na pia alikuja na africanazation ikawatoa wote wasio waafrika na waislam serikalini.
Siddhani kama alikua anaambilika kitu , hakua anasikiliza mawazo ya wengine ndio maana kina kambona , bibi titi. Fundikira , kasela bantu aliwatia ndani kwani hakupenda kukosolews.

Tunafahamu namana tulivo kuwa tunapanga foleni za chakula na petrol kwa card ya ration ,
Tunakumbuka nguo sote tunavaaa sare
Haya yote faiza anamzingizia !!!

alifanya kazi kubwa sana kuongoza watu wasiokua na elimu....unatakiwa ujue hilo kwanza sio unataka tu leo ndo iwe kama jana.....alitufunza wote tukanyooka kwenye maadili.....UDINI nimezaliwa hakuna UKABILA nimezaliwa hakuna....ila nauona unarudi kwasababu Nyerere hayupo.......THERE IS NO DEMOCRACY WITHOUT DICTATORSHIP....
 
Huyu mtoa mada sidhani kama aliwahi kupata bahati ya kuolewa na kuachika
 
uzi una point chache vingine mipasho na kejeli tuu!,

Naamini sheria ya makosa ya mtandao ina-cover mambo kama haya pia

Haya hata Tundu lissu aliya sema bungeni. Waso haya utawajua tu huku ooh kikwete ana kandamiza ujuru wa habari lakini akijadiliwa mwandani wenu ... sheria nzuri....hamuachi ujinga huu mpaka lini kuwa diuble standard.
Sheria ile inazungumzia wizi wa mitandao na kutoa kashfa za uongo na kutoa picha za uongo .
Hapa ni jamii forum.
Kuna mada inamhusu mtu tuna jadili kweli si kweli
Sasa presha ya nini umeshundwa hoja ?
 
alifanya kazi kubwa sana kuongoza watu wasiokua na elimu....unatakiwa ujue hilo kwanza sio unataka tu leo ndo iwe kama jana.....alitufunza wote tukanyooka kwenye maadili.....UDINI nimezaliwa hakuna UKABILA nimezaliwa hakuna....ila nauona unarudi kwasababu Nyerere hayupo.......THERE IS NO DEMOCRACY WITHOUT DICTATORSHIP....

ALAaaaa
 
A mfumo alo uasisi mkuu wa kaya bado zinakula umoja wa nchi
Alaa sii mfumo alikuja badilisha Mwinyi au hizi sifa za Mwinyi na Kuksa ni za Nyerere! kama yeye ndiye muasisi kwa nini hata hizo zote sifa za wengine wote msimpe Nyerere. Yaani Nyerere mwenye kadi namba moja ya TANU leo mnasema hakuwa muasisi wa TANU akili kweli?. Yaani mada imejaa ujinga wa watu walokolezwa kama wale wanawake wa South waloamini na kula majani ili wapate uza uzito!..
 
Nyerere alikuwa ni mtu mwenye akili sana, ni dhahiri hilo wala halina ubishi. Lakini TANU hajaiasisi Nyerere, Nyerere alishirikishwa kuunda TANU kwa usomi wake, hata jina la TANU lilikuwa tayari lipo kabla.

Nyerere mwenyewe anakiri hilo katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee kuwa hata jina la TANU lilikuwa tayari limeshabuniwa na waasisi wa TANU waliomkaribisha Nyerere kwa kuwa ni msomi wa hali ya juu wa enzi hizo.

Enzi hizo kuwa Mwalimu ni heshima kubwa sana na kwenda tu Uingereza si mchezo licha uwe na Masters Degree ya huko na uwe Mwalimu. Unakuwa ni mtu unaeheshimiwa sana tena sana.

Heshima hiyo aliyopewa Nyerere ndiyo unaona ana kadi namba moja ya TANU na waliompokea Dar., na waliobuni hata jina la TANU miaka kadhaa kabla Nyerere hajaja Dar Abdu na Ali Sykes wana namba mbili na tatu za kadi za TANU.
 
Mwalimu Nyerre angelkuwa muslamu huyu ajuza Faiza Foxy asingemdharau. Kwa hiyo hapa Nyerere anapimwa kwa dini yake zaidi:becky:
 
Nyerere alikuwa ni mtu mwenye akili sana, ni dhahiri hilo wala halina ubishi. Lakini TANU hajaiasisi Nyerere, Nyerere alishirikishwa kuunda TANU kwa usomi wake, hata jina la TANU lilikuwa tayari lipo kabla.

Nyerere mwenyewe anakiri hilo katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee kuwa hata jina la TANU lilikuwa tayari limeshabuniwa na waasisi wa TANU waliomkaribisha Nyerere kwa kuwa ni msomi wa hali ya juu wa enzi hizo.

Enzi hizo kuwa Mwalimu ni heshima kubwa sana na kwenda tu Uingereza si mchezo licha uwe na Masters Degree ya huko na uwe Mwalimu. Unakuwa ni mtu unaeheshimiwa sana tena sana.

Heshima hiyo aliyopewa Nyerere ndiyo unaona ana kadi namba moja ya TANU na waliompokea Dar., na waliobuni hata jina la TANU miaka kadhaa kabla Nyerere hajaja Dar Abdu na Ali Sykes wana namba mbili na tatu za kadi za TANU.
Faiza Nyerere alijiunga na TAA kwanza au siku walounda TANU..Ebu mMuulize Mohamed Said akueleze wazo na kuunda chama hicho TANU lilitoka wapi kina nani walishiriki na siku walokuwa wakijadili jina la chama walikuwepo nani na nani? Mzee Ally alitoa jina la mwisho lakini nani alikuwa kiongozi wa agenda yao hadi likapitishwa.

Mtu aliyekaribishwa atapewa kadi namba moja? Come on Faiza you better that this...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: DSN

Nimuulize Mohamed Said wakati kuna nukuu ya Nyerere mwenyewe humuhumu JF? Fikiri.

Wazo lilitokea Burma walipokuwa askari Abdul na Ali Sykes.

Nyerere TAA aliikuta na alikaribishwa na hao hao akina Abdul na Ali Sykes, na akaishi kwao, na wakamjulisha wazee wa Dar.

Ni heshima kubwa sana alipewa kwa usomi wake.

Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili). - Nyerere

Chanzo: Jamii Forums
 
kwa hiyo wewe unatakaje?
 
Last edited by a moderator:
Historia iseme kweli isimsingizie Nyerere mambo ambayo hakuyafanya.

Iseme kweli ili iwaje? ikisema kweli au uwongo sisi tunanufaika nini katika dunia ya sasa na so called history za hao wapigania uhuru?
 
Nimuulize Mohamed Said wakati kuna nukuu ya Nyerere mwenyewe humuhumu JF? Fikiri.

Wazo lilitokea Burma walipokuwa askari Abdul na Ali Sykes.

Nyerere TAA aliikuta na alikaribishwa na hao hao akina Abdul na Ali Sykes, na akaishi kwao, na wakamjulisha wazee wa Dar.

Ni heshima kubwa sana alipewa kwa usomi wake.

Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili). - Nyerere

Chanzo: Jamii Forums

kumbe sasa Nyerere hakuikuta TANU kama unavyosema, bali alishiriki kuunda TANU
 
Last edited by a moderator:
kumbe sasa Nyerere hakuikuta TANU kama unavyosema, bali alishiriki kuunda TANU

Nyerere alikuta jina la TANU tayari limeshaasisiwa ila chama hakikubadikishwa bado kutoka TAA kwenda TANU, kumbuka hata TANU ilikuwa ni TAA ikabadilishwa tu katiba na hilo jina na chama kilichokuwepo tayari kuwa na jina lingine, hata jengo ni lile lile la TAA lakini historia yake haikuanzia alipokuja Nyerere.

Ulifikiri Nyerere anaposema "Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili)" alimaanisha ni jina ambalo kina Sykes walitaka kuwapa watoto zao? Fikiri.
 
Iseme kweli ili iwaje? ikisema kweli au uwongo sisi tunanufaika nini katika dunia ya sasa na so called history za hao wapigania uhuru?

A people without the knowledge of their past history, origin and culture is like a tree without roots.- Marcus Garvey
 
Kweli wewe Faiza ni Ashki Majinun, unadhani unaweza kumuondoa Nyerere mioyoni mwa watanzania kiurahisi hivyo? Usipoteze muda wako bibie, Nyerere anaishi mioyoni mwangu/ mwetu ndio maana pamoja na jitihada zenu (kizazi cha nyoka) za kumchonganisha na Watanzania, bado anaendelea kupendwa.
 
Back
Top Bottom