FaizaFoxy bado tunazisoma uzi zako ambazo huwa unashadadia hiki harafu kinafanya kinyume chake, hivi huna aibu hata kidogo. Tibaijuka hawezi kufukuzwa, kafukuzwa, Muhongo hawezi kufukuzwa kafukuzwa, ESCROW ni hela za mtu binafsi, kumbe za UMMA hadi watu wanafiukuzwa, Katiba kura ya Maoni iko pale pale 30 April, imepita, CCM eti ni chama kubwa Mgombea uraisi atajulikana miezi 6 kabla ya Uchaguzi, sasa imebaki 4 hakuna kitu. Sasa umekuja na uzi wako kwa kijinga kama zile zilizopitaaaa, subiri utapata majibu unayostahili.