Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Anatoa mfano wa kuchinjana?
Na kwanini alihimiza kila mfuasi wake anunue PANGA?
LUKA 22:36
."....naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.-

HUO Upanga Ulikuwa ni wanini?
Au utasema wa kuchinjia mbuzi katoliki?

Utapeli wenu hauna Uhai tena.
Bibilia tunaijua kuliko mnavyodhani.

Wewe ufahamu Biblia na wala hutafahamu Biblia, Biblia inasomwa kwa connections, kuna verse za agano jipya zinakamilishwa na agano la kale au verse inayofuata. Kama kweli unadhani LUKA 22:36 alimaanisha kuua watu ebu soma Luke 22:49-51, uone kama kweli Hizo Panga mbili zina maana gani na nini kilitokea.

Hilo agizo la Upanga lilikuwa ni fumbo kwa hao wanafunzi, kwanza mida ya Yesu kuondoka duniani ulikuwa umefika, maana ilikuwa katika harakati za kuagana. Alitaka kuwafahamisha kuwa sasa wakati mgumu kwa Wanafunzi wake umefika, wawe Imara kwa ugumu watakao ukuta, na ndio maana walipomuonesha hayo mapanga akasema Yatosha, hakumaanisha walivyo elewa wao. Haya mambo ni Magumu kuyaelewa ukiwa bado unaamini Mapepo/Majini ni Malaika wa Mungu
 
Ndiyo maana nakuambia usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mapuya na kuleta bila data.

Msome tena Nyerere hapa chini.

Miezi minne baada ya kuanza kazi Pugu nikawa ninakuja Dar es Salaam, kwa mguu; kila Jumamosi. Baadaye wazee wakanipa baiskeli nikawa ninakuja mjini kukutana na wenzangu; kufanya mikutano.-Hivyo ndivyo tulivyofanya. Wazee wakaniamini upesi sana. Tukawa na uhusiano mkubwa sana. Wadogo wenzangu wengine walikuwa Abdul Sykes, Abass Sykes (mdogo wake), Dosa Aziz – waliokuwa wengi ni wazee.-

Wewe ulivyokuwa punguani unawadharau hawa wazee wa Kariakoo wakati Nyerere anaeleza walivyomsaidia mpaka baiskeli wakamnunulia kijana wao wewe pumba unaandika uharo tu bila ushihidi wowote.

Eti Kasella Bantu msomi, unamjua Mwapachu alikuwa na Elimu gani? Fundikila alikuwa na Elimu gani?

Tuliza kwanza Munkari.Hasira sio Maungwana.Siwadharau wazee wa Kariakoo ila walikuwa hawana Wazo la Kuikomboa Tanganyika Yote kabla ya Ujio wa Nyerere.Tuelezane Kiungwana tu hakuna haja ya Matusi hata kama Malezi uliyolelewa sio Mazuri lakini maadamu umepata uwezo wa kubonyeza vitufe vya Kompyuta ni Vizuri ukajifunza kuheshimu wenzako.Mimi sipo tayari kukuelimisha kama utaendelea na Jazba zako.
 
Walikuwa hawana uwezo vipi tufahamishe tupe na ushahidi siyo kuleta fikra zako mimi nakupa ushahidi wa maneno ya Nyerere mwenyewe twende na data bila Jazba.
 
Walau wewe una Hoja ya kufikirisha ila jitahidi kujifunza na Lugha aliyotuachia Mwl.Nyerere.
muhimu language yangu,english na swahili ya tafuta hela,ve yako ya jumbani nasahau shauri ya nyerere?halafu nakuwa zaramo nakata kauno.rudi language yako hii swahili iko na vatu yake kenya mombasa.
 
Wewe ufahamu Biblia na wala hutafahamu Biblia, Biblia inasomwa kwa connections, kuna verse za agano jipya zinakamilishwa na agano la kale au verse inayofuata. Kama kweli unadhani LUKA 22:36 alimaanisha kuua watu ebu soma Luke 22:49-51, uone kama kweli Hizo Panga mbili zina maana gani na nini kilitokea.

Hilo agizo la Upanga lilikuwa ni fumbo kwa hao wanafunzi, kwanza mida ya Yesu kuondoka duniani ulikuwa umefika, maana ilikuwa katika harakati za kuagana.

Kwa hio unataka kusema yesu alikuwa mtu wa mafumbo kama waimba Taarabu sio?

Sasa biashara ya Mipasho na Mafumbo umfundishe Msukuma km Mimi kweli kuna Ibada itafanyika hapo?

Teh teh teh teh!

Ina maana Ukrusto umeletwa wa wazee wenye kujua mipasho na mafumbo km wewe tu?

Sasa mbona mnaimba kwaya badala ya Taarabu?

Halafu unasema yesu alikuwa na haraka ndio akatoa hayo mafumbo! Hivi mwenye haraka Hutoa mafumbo au Maelezo ya wazi tu?
Teh teh teh teh!

We kapumbu ni balaa.
 
nakubaliana na wewe kabisa.

Nasikia Kun Aguero katupia hatrick kwenye game ya Man City vs QPR leo hii.

Mancity hana namna, analazimika kushinda tu, maana wanakabana na Arsenal katika kuwania nafasi ya pili.
 
Udini utawazika wanaoupigia debe. Nchi hii haina nafasi tena kwa wanaotaka kuiharibu kwa sababu ya udini. Madaraka yana kikomo...cheo ni dhamana. Tusianze kudanganyana hapa tunamtusi Nyerere kama sisi ni watu safi. Tumeonyesha udhaifu mkubwa katika mambo mengi ambayo Mwalimu Nyerere alionyesha ni tofauti tena kwa kujiamini.

Kama tuna machozi, basi tujiandae kujililia wenyewe. Jicho la historia haliachi hata kitu kimoja bila ya kukichungulia. Haya tunayoyafanya yanaaangaliwa kwa karibu sana. Ipo siku yatawekwa kwenye mizani na kupewa nafasi yanayostahili.

Mwenyezi Mungu Ibariki Tanzania.
 
Walikuwa hawana uwezo vipi tufahamishe tupe na ushahidi siyo kuleta fikra zako mimi nakupa ushahidi wa maneno ya Nyerere mwenyewe twende na data bila Jazba.

Jamani...wale wazee wangeenda umoja wa mataifa na kuweza kuongea la maana? Unafikiri walimuachia Nyerere aongoze jahazi kwa bahati mbaya? Hiki kilio chenu hakina mashiko maana mpaka leo hii ni wachache sana wanaonyesha tofauti. Kama hata nyinyi mliosoma mambo yanawazingua ndio itakuwa wale?? Tunaona wala hatusimuliwi...na historia inayaandika wazi wazi ili watoto wenu waje kuyasoma pamoja na vijukuu na vitukuu
 
Kwa hio unataka kusema yesu alikuwa mtu wa mafumbo kama waimba Taarabu sio?

Sasa biashara ya Mipasho na Mafumbo umfundishe Msukuma km Mimi kweli kuna Ibada itafanyika hapo?

Teh teh teh teh!

Ina maana Ukrusto umeletwa wa wazee wenye kujua mipasho na mafumbo km wewe tu?

Sasa mbona mnaimba kwaya badala ya Taarabu?

Halafu unasema yesu alikuwa na haraka ndio akatoa hayo mafumbo! Hivi mwenye haraka Hutoa mafumbo au Maelezo ya wazi tu?
Teh teh teh teh!

We kapumbu ni balaa.

The last Dose, Unaona ni sawa Mtume wetu kula Makombo ya mwanae wa kulea, yaani ku share puchi puchi na mwanae? Sura 33:37
 
The last Dose, Unaona ni sawa Mtume wetu kula Makombo ya mwanae wa kulea, yaani ku share puchi puchi na mwanae? Sura 33:37

Nimeshakwambia muda lkn mkafiri kusikia ni kazi kubwa.
Mipasho sio fani yangu.
Unalo andiko Leta.
Wacha kutuwekea Namba km Tuko magereza.

Ngoja nikupe mfano hai.

Deuteronomy 23:1
He that is wounded in the stones, or hath his privy member cut off, shall not enter into the congregation of the LORD.

HAPO juu ☝tunaambiwa ktk ANDIKO kuwa Mtu yyt aloyevunjika MAPUMBU au Kakende kakeau alokatika Uume wake asisogee kanisani.

Ezekiel 23:20
For she doted upon their paramours, whose flesh is as the flesh of asses, and whose issue is like the issue of horses.

Hapa andiko linatufunza kwamba Kuna mama anasifia mgalatia mmoja kuwa na Dushelele km FARASI!

Sasa na wewe andika namna hii.
Sio kutoa namna tu.
 
Last edited by a moderator:
nyerere wetu, aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa tanganyika na rais wa kwanza wa tanganyika na tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) nyerere anasingiziwa kuwa kapigania uhuru wa tanganyika.

Si kweli, nyerere hakupigania "uhuru wa tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai uhuru kama "kapigania uhuru"?

2) nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi tanu.

Si kweli, nyerere hakuasisi tanu wala hajatowa jina la tanu.

3) nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda watanganyika na watanzania.

Si kweli, nyerere hajawahi kuipenda tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya kiafrika, nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) nyerere anasingiziwa kuwa ni daktari.

Si kweli, nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, nyerere ni msanii.

5) nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea tanganyika mwenye "masters degree".

Si kweli, kuna watanganyika waliokuwa na udaktari "phd" kabla yake, ushahidi ni akina muhimbili, sewa haji, kibasila na wengi wengineo.

6) nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha watanganyika na watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya nyerere.

7) nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

si kweli, bot kabla ya nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? Ni nani alichunguza?

Kamasi nyerere aliyeiba basi ni mtei wa chadema, aje hapa mtei bado yuko hai, ni vipi bot iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa nyerere.

daah hii mitandao kazi kwelikweli- kujipostia tu!!
 
Hahaha pole sana, Nyerere alikuta nchi iko gizani, wenye degree hawafiki hata 5, Nyerere akaanzisha shule, vyuo, Mahaspitali, Akaanzisha viwanda nk.

Kikwete anamaliza kuapishwa anapelekwa Ikulu na Benz yenye AC, anakuta Ikulu kuna Mayai, Mkate na kila aina ya anasa. Kikwete anakuta kuna ndege ya Rais, Kikwete akiangalia BOT anakuta Mkapa kamuachia Mamilioni ya Dola kwa ajili ya kuanzia kazi. Any way, mkuu sahim1, maisha aliyopitia babu yako na wewe ni tofauti sana. Pia watu kupangana foleni, hizi zilikuwa ni siasa za mlengo wa ujamaa, lengo lilikuwa zuri, tumuhukumu mtu kwa malengo yake na siyo kwa failure yake. Ni sawa na mtu kukushawishi mvuke mto muende ng'ambo mkatafute mali, lakini mkiwa njiani Mamba anakukata mguu halafu ukamlaumu yule alietaka ukapate mali ng'ambo ya mto

Unaonekana umehadithiwa na mtu asie ijua tangangika/ tanzania.ninani kakuambia jkn alikuta nchi haina wasomi mm baba yangu mkubwa kasoma makerere na jkn na mze Abdallah fundikira na aliwahi kuniambia wakati wako makerere walikuwa wtz zaidi 150 sasa kama makerere tu walikuwa 150 vyuo vingine ktk dunia hii walikuwa wangapi?
Na ukumbuke hutuba ya mzee mwinyi aliohutubia daimond na wazee wa mkoa wa dsm alipo sema amekabidhiwa nchi haina akiba ya chochote kile haina akiba ya chakula, mafuta ya magari, pesa benk kuu hakuna ,madawa hakuna nk. Hili amelitamka mzee mwinyi wakati wa uhai wa jkn hajafa na jkn hakukanusha.
Sasa ikulu hiyo yenye mayai na benz zisizo na mafuta zinasaidia nini?
Mm naamini zaidi uchumi wa nchi hii umeanzia kuwa mzuri wakati wa uwongozo wa 1985 huko nyuma hatukuwa na mikakati ya kuisaidia nchi hii zaidi tulielekrza nguvu zetu ktk siasa na ukombozi wa afrika bila kujali wtz wana kula nini.
 
Huyu jamaa sijui hizo habari zake anazitoa wapi.
 
Huyu jamaa sijui hizo habari zake anazitoa wapi.

Ritz; Hawa wtt hawaujui uwongozi wa jkn wanahadithiwa tu na wachungaji wao ambao ndio hao hao wanao mtakia utukufu jkn.
Nadhani hata hao wanawasimulia nao ni wtt wenzao hawakuwepo wakati wa utawala wa jkn.
 
Kanisa limekuwa likitoa huduma hata kabla ya nchi iitwayo Tanganyika kufikiriwa kuwepo, unaposema serikali inanufaisha kanisa ni kudhalilisha kanisa, 26% ya Hospitali zote duniani ziko chini ya Roman Catholic, bado ujaweka Anglican, Lutheran, Othodox nk. Kama ngeli inapanda soma hii,

The Roman Catholic Church is the largest non-government provider of health care services in the world.[SUP][1][/SUP] It has around 18,000 clinics, 16,000 homes for the elderly and those with special needs, and 5,500 hospitals, with 65 per cent of them located in developing countries.[SUP][2][/SUP] In 2010, the Church's Pontifical Council for Pastoral Assistance to Health Care Workers said that the Church manages 26% of the world's health care facilities.[SUP][3][/SUP] The Church's involvement in health care has ancient origins.

"In the United States, 50 percent of social services are provided by the Catholic church," said Keating, who now serves as president and CEO of the American Bankers Association.

For more

Catholic Church and health care - Wikipedia, the free encyclopedia

Mm sio ninae lidhalilisha kanisa bali nyie wenywe wakiristo ndio munaelidhalilisha kanisa nahasa wakiristo walio na madaraka serikalini kwa kulipendelea kanisa na kuingia mikataba isiyo na usawa na taasisi zingine ktk nchi.
Leo serikali inatoa mabilion ya pesa kwenda ktk kanisa lakini hakuna marejesho wala ukaguzi wa fedha hizo.
Utadhani ni sadaka au zaka za serikali na kama ni sadaka au zakka basi si wakiristo tu wanao stahiki kupewa.
Mutakosa wapi kumiliki hospitali nyingi wakati sada mkuya kakuta rundo la makaratasi yamesainiwa yakielekeza mabilion yapelekwe kanisani.
Isitoshe ukiristo hauna haram ksnisa linamiliki bar, gest nk na hata pesa za kifisadi zinatumika tumeona escrwo na mkombozi bank na maaskofu. Ktk uislam kuna haram na halall bar na gest za zinaa ni harm.
 
Mwl. NYERERE Amefanya mambo makubwa sana kwa ajili ya taifa hili hata ukigeuza ukweli kuwa uongo utaumia tu huko ni kubishana na ukuta,KUMBUKA Asiye na akili hana akili tu ndio maana hata leo Afrika haitaacha kuwa BARA la Giza kwa sababu watu wanampenda sana SHETANI na ndio sehemu ya Maisha yao ya kila siku.Lakini UKWELI haujawahi kushindwa shetani atabaki kuwa shetani na wanaoambatana nae na kuabudu majini na kufuga masea, kamwe si Marafiki wa MUNGU na kwao hakuna kweli yoyote.KINACHOMSUMBUA MTOA MADA NI UDINI UDINI na KICHWANI MWAKE HAMNAZO.SISI NYERERE Tumemuona akifanya kazi ktk TAIFA hili kwa UZALENDO WA HALI YA JUU, wewe kwa uandishi wako tu umedhihirisha kuwa ww ni mtoto mdogo na NYERERE haumfahamu na Nchi hii huijui zaidi ya kukumbatia UDINI.NDUGU Acha upuuzi wako uwe MKWELI NA MWENYEZI MUNGU AKUONE.
 
unataka kulinganisha I.Q ya Kikwete na Nyerere? Ni kama kichuguu na Kilimanjaro

Siwezi kulinganisha Kichuguu na Mlima lakini nnaweza kutenganisha kama ifuatavyo:

Miaka 27 ya Nyerere wanafunzi walioingia chuo kikuu Tanzania hawazidi laki moja.

Miaka tisa ya Kikwete wanafunzi wanaoigia vyuo vikuu Tanzania ni zaidi ya laki tano kwa mwaka.

Beat that if you can.
 
FaizaFoxy yaonekana kama mwl Nyerere angekuwa bado angali hai ungetamani kumuua kwa mikono yako..sijawahi ona thread inayomzungumzia Nyerere either kwa mema au mabaya ukachangia japo kwa hishma kidogo,vipi aliwahi kukuulia mume?maana chuki zako hizo kwa marehemu nawe utakufa siku'sizako dalili zake zinaonekana.

Kwani alipokuwa hai mimi nilikuwa nimekufa? Fikiri.

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom