kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,621
unataka kweli Mzee Edwin Mtei akujibu naye kakuona kinyago cha mpapule.
Mtoto wa kiume na maneno ya mipasho haipendezi.
Mnaporomosha maadili ya jamii kwa kuiga wanawake.
Hebu kakamaa kidogo we mbwega usije konyezwa na Kakende ukarusha ngumi.
Last edited by a moderator: