Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Oh! Hivi si ni Mwalimu aliyetaifisha shule za kidini ili watoto wote hadi wa kiislamu na dini zote wasome?Sasa, ulitaka afanyeje zaidi ya hivyo katika kipindi chake? Literacy rate unafahamu ilikuwaje? Na sasa ipoje?
Hivi wewe unajua kama Tz ni nchi inayoongoza kwa watu wajinga duniani.....Huyu mzee alikuwa msanii tu.....
 
Aksante kwa kumsaidia huyu fanatic, sio kwamba ukweli haujui bali ni upuuzi tu umemjaa kichwani kila akilala akiamka anawaza Nyerere, kama unampenda sana nenda umfuate huko aliko.

Nyie mliojenga chuki ndio mfuateni mtakufa na viroho vyenu lakini hakuna hata mmoja wenu atakayetufanya tusimuenzi kiongozi mahiri kama Nyerere; ukweli utabaki kama ulivyo!! Historia inawasuta na itaendelea kuwasuta!!
 
Kajifunze kuandika Kiingereza ndio uje nikuelewe una maanisha nini.

Huo ndio msingi uliowekwa na Nyerere. Hujuwi Kiingereza na nna uhakika hata Kiswahili hukijui.

heheheh dada umerudi ??? you should start with our hon president dr JK, he sings, talks, sleeps Nyerere, there is not a single day that goes by without showering him praises, surely you haven't missed THAT ?
 
Nyie mliojenga chuki ndio mfuateni mtakufa na viroho vyenu lakini hakuna hata mmoja wenu atakayetufanya tusimuenzi kiongozi mahiri kama Nyerere; ukweli utabaki kama ulivyo!! Historia inawasuta na itaendelea kuwasuta!!
well said CHAMA !
 
mkuu Chintu
Sijawahi kuwa gamba na sitawahi kuwa; mimi ni mtanzania ninayeheshimu utawala wa kisheria; nashangaa sana na hawa watu wanaotumia muda mwingi kumpaka matope Nyerere mtu aliyeachia madaraka zaidi ya miaka 30 iliyopita wakati kuna nchi duniani zilipata matatizo makubwa ya kiuchumi kuliko Tanzania na zilitumia chini ya miaka 20 kutatua matatizo yao; Ng'wamapalala ni mzushi tu ila namshauri ajielemishe ataona ni kiasi gani Nyerere alikuwa lulu kwa watanzania na kama anataka kuthibitisha kauli yangu aende kwenye mkusanyiko kama Kariakoo atoe maneno ya kifedhuli dhidi ya Nyerere aone kama hatapata kipigo cha paka mwizi!

Kama watu wanamlaumu Nyerere kwa matatizo ya kiuchumi ya sasa wataendelea kumlaumu mpaka miaka 100 ijayo.

Kama Watu wanamlaumu Nyerere kwa vurugu za uvunjifu wa amani za sasa hawataacha kumlaumu mpaka miaka 100 ijayo.

Kama Watu wanamlaumu kwa ufisadi na utoroshaji wa maliasili kwenda nje pasipo Nchi kunufaika hawataacha kumlaumu hata miaka 100 ijayo.

Kifupi hawa ni Ndugu lawama. Mimi siwezi kumlaumu na offcourse aliyokosea kwetu ni changamoto si tatizo kwa sababu hata yeye alisema "Tujisahihishe" na si "Tulaumu". Nina ndugu mpaka huko kusini Mtwara, naweza kuishi popote bila kuhisi kubaguliwa, naweza kuoa popote Tanzania, naweza kulima shamba popote Tanzania, naweza kufanya biashara kokote Tanzania......N.k n.k.

Kama tunaona haya hayana impact chanya kwenye mpaka Uchumi tuvunje huu "umoja" ili tuishi kama Wakenya ambapo hata Rais wa Nchi kuna maeneo ndani ya Nchi yake hawezi kukanyaga!!
 
cc Ng'wamapalala
 
Last edited by a moderator:
heheheh dada umerudi ??? you should start with our hon president dr JK, he sings, talks, sleeps Nyerere, there is not a single day that goes by without showering him praises, surely you haven't missed THAT ?

well understood message delivered!
cc Ng'wamapalala
 
Last edited by a moderator:
Nyerere ametuachia nchi mbichi, safi, misingi mizuri, utajiri wa kutosha tuliopewa na mwenyezi mungu, tujiulize kwanini hatuiendelezi kwa manufaa ya nchi yetu??
Kila mtu amebaki kuvutia tumboni kwake tu.
Wenye matatizo ni sisi tulioachiwa hii nchi not Nyerere.
 
Nyie mliojenga chuki ndio mfuateni mtakufa na viroho vyenu lakini hakuna hata mmoja wenu atakayetufanya tusimuenzi kiongozi mahiri kama Nyerere; ukweli utabaki kama ulivyo!! Historia inawasuta na itaendelea kuwasuta!!

Tatizo lako unakurupuka kusoma comment yangu bila kujua nilikuwa najibu nini. Mamndenyi hebu mwambie huyu jamaa yako chama aache kurukia mada ambazo hajazielewa na kwamba mie nilicomment kwa kuzingatia muktadha na wajihi wa mleta mada bibi FaizaFoxy na nilikuwa namuunga mkono alichoandika Ng'wamapalala hapa chini.
Aione Nsiande.

Huwezi kujadili challenge za nchi zilizoko kwa sasa na kuangalia positive solution za miaka ijayo bila kuangalia historia ya matukio ya zamani na jinsi yalivyoshughulikiwa kwa sababu kutokufanya hivyo, kutakuwa na uwezekano wa kufanya makosa yaleyale.

Utawala wa Mwl. Nyerere ni mojawapo ya historia ya nchi yetu na katika utawala huo kuna mambo mengi mazuri na mabaya ya kujifunza ili tupate solution ya matatizo yaliyopo na yajayo. Maendeleo yoyote yale chanya mara nyingi yanapatikana kwa kujua udhaifu wa kilichoko na hasa tangu kilipoanzishwa na kutafuta solution ya kukibadilisha katika hali chanya.

Historia ya taifa letu ipo kwa ajiri ya kutuasaidia kujitambua wapi tumetoka na pia inatusaidia kufahamu mabadiliko yaliyotokea kama ni mazuri au mabaya. Ndiyo maana hata Katiba tunayohangaika kuitafuta kama taifa, misingi yake mikuu imekuwa based on our Nation history.

Mbona kuna watu huwa wanapandwa na midadi na hasira pale tu historia ya utawala wa Mwl. Nyerere inapoangaliwa katika macho hasi lakini ni hao hao pia wanapatwa na furaha sana pale inapoangaliwa katika macho chana.

Kama yeye mwenyewe alishawahi kusema kuwa hakuwa "malaika", kwa nini baadhi ya watu wanataka jamii imuone kama alikuwa "malaika" katika macho ya kinafiki. Tujenge nguvu ya hoja na siyo hoja za nguvu kama baadhi ya watu wanavyopenda iwe.

Jamii bado inaangalia na kuzichambua athari za vita vya dunia (1,2) na pia athari ya utawala wa Adolf Hitler kama ilivyo kwa watanzania ambao wanaangalia na kuzichambua athari za kikoloni katika dunia na hii ikiwa ni pamoja na Tanzania. Why not Mwl. Nyerere legacy?.

We can't have Mwl. Nyerere positive legacy without having negative legacy. Huu ndiyo ukweli. Let's talk openy as Jf motto.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada aliyeanzisha yuko wapi? Hapa tunataka tukuelemishe hii kulikimbia jukwaa ni kujiabisha; wazushi siku zote mnaishiwa cha kusema lakini ukweli utasimama daima hakuna hata kiongozi mmoja wa kumfananisha na Nyerere; Nyerere alikuwa kiongozi wa kimataifa ndio maana wataznania tunaendelea kuheshimika kwasababu ya misingi bora aliyotuachia hizi lawama zenu tunaomba mje na njia mbadala ya nini kifanyike
 
Tatizo lako unakurupuka kusoma comment yangu bila kujua nilikuwa najibu nini. Mamndenyi hebu mwambie huyu jamaa yako chama aache kurukia mada ambazo hajazielewa na kwamba mie nilicomment kwa kuzingatia muktadha na wajihi wa mleta mada bibi FaizaFoxy na nilikuwa namuunga mkono alichoandika Ng'wamapalala hapa chini.
Aione Nsiande.

Hapo hakuna tatizo kama tupo pamoja sawa; inabidi ufunguke zaidi unapomjibu au kumquote Ng'wamapalala na kundi lake; sana unataka Mamndenyi afanye nini? Hapa napingana na wazushi na waongo walikosa cha kusema kama bahati nimekurushia jiwe samahani sana!
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada alivurugwa na akatimkia mbali;
amshukuru sana Ritz alimpoozea sana;
halafu sikutaka kuendelea kukomaa tena
baada ya kusoma comment za mkuu wangu wa kazi Ritz;

Mtoa mada aliyeanzisha yuko wapi? Hapa tunataka tukuelemishe hii kulikimbia jukwaa ni kujiabisha; wazushi siku zote mnaishiwa cha kusema lakini ukweli utasimama daima hakuna hata kiongozi mmoja wa kumfananisha na Nyerere; Nyerere alikuwa kiongozi wa kimataifa ndio maana wataznania tunaendelea kuheshimika kwasababu ya misingi bora aliyotuachia hizi lawama zenu tunaomba mje na njia mbadala ya nini kifanyike
 
Last edited by a moderator:
Mkirua tupo pamoja;
wakati huu ni lazima yale mapipa ya lami
mrema aliyoshindwa kumwaga barabara ya kwenda
kule kwetu tuhakikisha lami inapita kule;

CCM ni chama imara

Tatizo lako unakurupuka kusoma comment yangu bila kujua nilikuwa najibu nini. Mamndenyi hebu mwambie huyu jamaa yako chama aache kurukia mada ambazo hajazielewa na kwamba mie nilicomment kwa kuzingatia muktadha na wajihi wa mleta mada bibi FaizaFoxy na nilikuwa namuunga mkono alichoandika Ng'wamapalala hapa chini.
Aione Nsiande.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada katoka baruti, na aje humu aeleze misingi ipi ambayo yeye anaisema ni mibaya na Nyerere aliiacha na ikatufikisha hapa???.

Kweli unafiki na chuki ni kitu kibaya sana!!
 
FaizaFoxy nilikuwa nakupa respect kama mkubwa mwenzangu
aliyepata maendeleo na kustaarabika; nimekuja kujua kuwa
huna kumbukumbu ya huko ulikotoka hata unakoenda kumejaa giza tororo;

Mi kivyangu napenda uislamu kuliko hata ukristo;
kwanini unanilazimisha nijiuulize ulize tena bi dada.

Umekosa hoja unaanza viroja.

Sikushangai, kivyako hiyo ndio misingi "mizuri" aliyoiweka marehem Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada alivurugwa na akatimkia mbali;
amshukuru sana Ritz alimpoozea sana;
halafu sikutaka kuendelea kukomaa tena
baada ya kusoma comment za mkuu wangu wa kazi Ritz;
Mamndenyi
Siku nyingine nenda naye taratibu; Nyerere alisimamia sana kinamama kupata haki zao alihakikisha wanapata kipau mbele kwenye elimu; sijui kama sio Nyerere hawa wengine wangekuwa kweli hali labda wangekuwa waauza maandazi kidongo chekundu; leo wamepata nafasi kwasababu ya Nyerere basi kuvaa mitandio kumewafanya kukosa nyuso za haya! Badala ya kuvaa mitandio kutekeleza sunna za kiislamu wao wameigeuza kuficha nyuso zilizokosa haya!!
 
Last edited by a moderator:
Unatakiwa kujibu hoja, kama unataka kufundisha lugha badili kichwa (title cha hoja yako) mjinga wewe

Nilitaka nikushauri kuwa umsamehe bure, lkn nijakumbuka FF anabeba roho ile ile ya kina Nape, Mwigulu, Nkamia, Kigwangalla na Wabunge wengi wa CCM ambao siku zote badala ya kujadili na kujibu hoja, wao huwa wana~attack personality! Inashangaza sana.
 
Kuna watetezi uchwara wa serikali dhaifu ya Kikwete wao wanaamini kwamba wanaweza kumjenga Kikwete kwa kumshutumu na kumtupia kila aina ya lawama Mwalimu Nyerere na hivyo kupata justification ya udhaifu wa serikali ya Kikwete.

Kama kweli Mwalimu Nyerere hakuweka misingi imara inakuwaje Raisi Mkapa aliweza kuiongoza nchi hii kwa ufanisi japo kidogo kuliko Kikwete? rasilimali ni zile zile, watu ni wale wale na chama ni kile kile.

Mwalimu Nyerere aliweza kuwashughulikia wahujumu uchumi lakini leo hii raisi Kikwete anawaogopa kama baba mkwe wauza sembe na mafisadi.

Mwalimu Nyerere aliweza kuwasomesha watoto wa kitanzania toka katika familia masikini na tajiri katika shule moja kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu kwa gharama ya serikali wakati huo nchi haijaanza kuvuna rasilimali za asili kama madini na gesi lakini leo hii miaka takribani 30 tangu alipondoka madarakani wakati serikali hii ya awamu ya nne alipingia mikataba mingi hadi kuvunja rekodi na wawekezaji kutoka nje kwenye madini, gesi asili, chuma/makaa ya mawe Liganga/Mchuchuma lakini bado serikali hii imeshindwa kuwapatia mikopo wanafunzi walioko katika vyuo vya elimu ya juu kwa sasahivi.

Kwa ufupi ni kwamba Mwalimu Nyerere aliweka misingi, tena misingi imara bahati mbaya ni kwamba baada ya yeye kuondoka madarakani waliofuatia wamekuwa wakifanya juhudi za makusudi za kuibomoa misingi aliyoiweka. Wakati fulani aliwahi kutoa hotuba na kuonyesha lkuwashangaa viongozi wa chama chake cxha ccm na serikali yake kwa kubomoa hata yale mazuri aliyoyaanzisha na kushikilia mabaya ama ya kipouuzi kama mwenyewe alivyoyaita.

Enyi watetezi wa Kikwete muambieni jamaa yenu atafute majawabu ya kwanini nchi hii ni masikini pamoja na kuwa na rasilimali nyingi kwakuwa bila kujua sababu na kiini cha umasikini wa nchi hii hatoweza kuuondoa na juhudi zozote anazozifanya ni kazi bure kwakuwa bado hajajua chanzo/kiini cha umasikini wa nchi hii.
 
Mkirua tupo pamoja;
wakati huu ni lazima yale mapipa ya lami
mrema aliyoshindwa kumwaga barabara ya kwenda
kule kwetu tuhakikisha lami inapita kule;

CCM ni chama imara

Hahahaaa... Mamndenyi hapo kwenye kijani itakuwa ngumu hata kama ni kwa kunihakikishia kuwa yale mapipa ya Mzee wa Kiraracha sasa yatamwagwa kule kawawa road hadi nduoni kilema mpaka marangu mtoni....bado hujaugusa moyo wangu...Maisha ya taifa langu ni zaidi ya lami. Tukifanya yanayotakiwa Lami tutaweka mpaka kule nganjoni wanakotengeneza chan'gaa...

:focus:
Tatizo kubwa la FaizaFoxy wala sio chama anachokisimamia ila ni kuweka udini mbele, udini unaompa upofu kwani ukitress history yake kama sio mwalimu anayemtusi leo na Azimio la Arusha sia ajabu ungekuta FaizaFoxy anauza korosho na wadengereko wenzie kina Marcopolo pale chalinze kama sio samaki nchanga pale nanjilinji..au mganga wa jadi kule mahuta shimoni - Newala. Tumewazoea, unaposoma bila kuelimika elimu hugeuka mzigo kwako na wanaokuzunguka.

Waliopaswa kumlaumu Baba wa Taifa kwa kuchukua shule zao na kuzifanya za taifa ili watoto wote wasome bila kujali religious affiliation yao hawalalamiki kwakuwa waliishika elimu na wakaelimika wakaona mantiki ya uamuzi ule baada ya wengine kukimbia shule kwa kusingizia kuwa watoto wao watalazimishwa kubadili dini nk..Hata juzi tu wapo wanaoandamana kutaka misikiti ijengwe kwenye hizi shule kisa makanisa yapo jirani hata History ya STD seven inatosha kujiuliza kwanini ikawwa hivyo lkn eti form six mzima unakuwa mpuuzi kiasi kikubwa hivi. Ndio maana mswahili akasema shukrani ya punda ni mateke, hivyo hatuwashangai sana.
 
Last edited by a moderator:
....Enyi watetezi wa Kikwete muambieni jamaa yenu atafute majawabu ya kwanini nchi hii ni masikini pamoja na kuwa na rasilimali nyingi kwakuwa bila kujua sababu na kiini cha umasikini wa nchi hii hatoweza kuuondoa na juhudi zozote anazozifanya ni kazi bure kwakuwa bado hajajua chanzo/kiini cha umasikini wa nchi hii.
Amuulize Kagame tu, kwa nini alisema .....akipewa Tanzania aiongoze atahitaji miaka mitano tu kuitransorm kuwa tajiri. Badala ya kumuomba ushauri yeye katengeneza bifu.
 
Back
Top Bottom