NYARAKA: Madudu mengine ya William Mhando ndani ya TANESCO

NYARAKA: Madudu mengine ya William Mhando ndani ya TANESCO

Hapo ndo ujasir wa kifisadi unapojionyesha Mkuu Invisible.

Yaani huwezi kujiaminisha kuingia mkataba na mkeo, wewe ukiwa kama kiongozi wa shirika la uma, mkeo awe supplier. Inahitaji ujasiri wa hali ya juu (wa kifisadi) kutekeleza hili.

The audacity staggers me!...alijiamini nini?...hakufanyiwa vetting?...waliopewa jukumu la kumpekua alikuwa amewaweka mfukoni?...kichwa kinauma
 
Acheni wivu wa kike na nyie pigeni hela kivyenu......
 
aliyeturoga, kafa na kaburi lake halipo, halionekani! LORD HAVE MERCY ON US!
 
Hivi watu tunaposema Tanzania unatafunwa ikiwa mbichi bado hamuamini mnafikiri kesi kama hii ni jambo la kushangaza sana.
Mkuu hii kitu sio kwamba watanzania hawakijui wanakijua fika,hatutaki kuchukua hatua kwanza kwa kubadili mind set yetu ili suala la integrity kwa viongozi iwe ni suala la lazima na kitaifa..Kama jamii tutaendelea na haka kamtindo ka kuwachekea walafi na wakiuka maadili ya kiuongozi tukubali kuendelea kuwa Taifa la hovyo.
 
Sara Msafiri
Munde Tambwe,,,,,,
ZZK

SHAME ON THEM...especially shame on zitto and this is a guy who's presidential hopeful...kweli huyu ndio tumkabidhi nchi wakati alikua tayari kuvuruga wizara ya nishati na madini kwa maslahi yao binafsi...they aint nothin but a bunch of HYPOCRITES
 
Maumivu ya kichwa huanza pole pole, hapa ndio utawajuwa wanasisa njaaa ambao hutetea maovu. 2015 yaja jamani shime tuwaumbue wote waliojifanya watetezi wake kwa maneno yao.
 
Sasa naelewa ni kwa nini watetezi wa Mhando walikuwa wakali sana kipindi kile, kiasi cha kutengeneza personal bifu na Waziri.

Kumbe hawakutaka tufike huku, kwa kuwa walijua tunakoenda kutakuwa na kuvuana nguo, kelele zao zilikuwa ni sawa na mtu anaeng'ang'ania nguo mwilini mwake ili isimvuke.

Ninaamini hii document si mwisho wa kulifumua genge hili, yapo mengine yanafuata.
 
Mkuu, huyo Mwakamele lazima mambo yake yawe safi. Hiyo ni sure deal business zabuni zote za maintenance ya umeme wamehodhi wao huku muidhinishaji ni Mhando mwenyewe ambaye ni partner. Utategemea nini hapo?( A)

Na huyu Mhando hana maadili kabisa, zabuni ya vifaa vya ofisini navyo mke wake (B)

A+B= uhujumu uchumi

Anaweza akawa hata anaviandikia WRITTEN OFF vifaa ambavyo bado vinaweza kutumika

kweli kaka huu ni uhujumu uchumi fulu,kweli nsrikali ya jk ina mambulula wengi sana. halafu kamanda zitto alijisahau akawa anamtetea huyu jamaa
 
Mkuu Sikonge: Zitto siyo mkaguzi wa Tanesco, yeye anafanya kazi kulingana na ripoti ya CAG na ndio maana aliomba CAG afanye ukaguzi maalumu.

Kuna watu wakishaona jina la Zitto au yeyote wasiyempenda basi huwa hawaangalii context isipokuwa wanachukua kineno wanachohisi kinatimiza haja zao na kuishia hapo. Kama alihitaji uchunguzi ufanyike tatizo liko wapi? Kama leo atakuja na utetezi baada ya ushahidi kuzidi kuonekana hapo ndo kuna issue!!!
 
Nchi yangu tanzania hivi kwanini tusianze kuwanyonga hawa mafisadi wote...
 
haya hao wabunge kwenye ile kamati ya nishati na madini waliotaka mhando abaki na kwamba wakawa wanamtetea na wakawa mpaka na mpango wa kutoipitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini wako wapi? naomba tuwataje hao wabunge hapa....WE SHOULD NAME AND SHAME THEM!!

Mkuu kuna kamati nyingi mpaka zinatuchanganya! Je hii iliyo hundwa juzi juzi na kuonekana imepania kweli kweli kuwasafisha watuhumiwa na kuwakandia/kuwajengea mizengwe Wazalendo!!

Huu ujasiri/kiburi cha ukosefu wa uzalendo na kutojali maoni ya Wananchi yanatokana na nini?? Wananchi tunabaki tunajiuliza maswali mengi: Je ma CEO wa mashirika ya UMMA wanateuliwa kivipi? Kwa Board Chairman kuandikiwa ki-memo kutoka ngazi za juu bila ya Rais kujuwa au wanakuwa properly VETED (sina hakika kama ili linafanyika siku hizi). Zamani ma afisa wa usalama wa Taifa wasinge ruhusu upuuzi huu, na shirika la UMMA kama Tanesco lenye kishawishi kikubwa kufanya ufisadi alipaswi kukosa watu wa usalama wa taifa ambao wako active - wawe truely independent kama zamani bila kuingiliwa - wasije wakawa wanajitahidi ku-report hujuma kama hizi lakini report zao zinaishia kwenye trash CAN.

Kuna wakati fulani huko nyuma nilichoshwa na HUJUMA zilizo kuwa zinaendelea kwenye Shirika fulani la UMMA - nakawafuata ma afisa wa USALAMA wa Taifa nikawambia kwa nini wana acha mambo yanakwenda ndio sivyo na wao wanakaa kimya! Unajuwa nilicho jibiwa? Walisema na wao wako concern kama mimi na wanapeleka report kama kawaida, lakini wao si POLISI! Katika hilo hatuwezi kuwalahumu kusema kweli, wanajaribu sana ku-play their part. Swali hapa ni: Je, Mwalimu Nyerere aliwezaje kutumia USALAMA wa Taifa effectively- na kusema kweli mambo ya hujuma yalikuwa nadra sana, si hilo tu hata kuajiliwa kwenye Shirika wao walikuwa wanahusika sana ku-VET candidates, labda huwe umetoka shuleni moja kwa moja.

Wakati wa Kambarage hizi kampuni za Muhando za mifukoni zingemfikia siku hiyo hiyo na angejuta kuzaliwa, siku hizi naona kama mambo yako tofauti kidogo ndio maana ma CEO na Wakurugenzi wanakuwa na GUTS zisizo za KAWAIDA.
 
Sheria za kuwapiga risasi hadharani ingekuwa applied huku haya mambo yasingeendelea.................. otherwise itakuwa kama kumpigia mbuzi gitaa....................... hakuna imani na huyu mwingine dah!
 
yaani post zote hizo hujaona tatizo?



zitto ni mwenyekiti wa kamati ya mashirika ya umma, ambapo tanesco ni mojawapo ya mashirika hayo. Alikuwa anamtetea mhando kwamba hana mawaa,sasa mawaa ndio hayo hapo juu. Aje amtetee tena.
Hivi huwa hufuatilii mijadala hapa jf? Wake up

shetan hula na wenye dhambi ndio maana anaingia na wewe mpaka guest house akijua kabisa unaenda kuruka ukuta anakuaga mlangon unajua uko nae ...sasa siku zote mtu mwema hula na vipofu so sikwambii umfwate shetan lakini akikisha hata kama unaitwa kipofu hata jicho moja basi unaona ukifika mlangon unashtuka jamaa ameondoka unaanza na wewe aijalishi mwanamke yuko ndani..so swala hapo ni kusoma nyakati ndio maana kuna walevi wazinzi wakifika muda mungu amewachagua hata ufanyaje wanaokoka hata muwaloge washinde bar..sasa yoote haya ni kusoma dira na mwelekeo ...kwangu mimi kaka zito nilimwombea sana awahi kutema kikombe hiki siku yule mama alipomwaga mpaka ya nguoni he bado akaamua kukomaa na jamaa msafi clean....sweet no doubt na majina kibao natumaini na narudia tena sipendi kuwa mnafiki kupepesa macho wa la kuitwa alikuwa nanii hyuyu bado kaka zito ana muda wa kujichunguza mikono yote miwili kuangalia kama yuko safi na kama vipi baibo inasema ukiona jicho moja linakupeleka peponi ondoa na lingine sasa simshauri akate yote anaweza kuangalia mmoja ausafishe tubaki na zitoo mchukia maovu ...na yeye ni bindau kama sie ana kosea so sitaki kuwa hakimu la hasha mungu ndie hakimu na zile hansad natumaini zoote alizoongea zitto na mungu amzezirekodi na kama anajua alichofanya basi muda ukifika ataongozwa na roho mtakatfu ..lowasa akwenda bagamoyo jamani ni mungu ndie alimwongoza yule baba na pamoja na uchafu unaosemwa nina record ya tvt aliuliza kwenye halmsahauri kuna kitu alichoamua mwenyewe kila kitu alichofanya kimepewa baraka na mkono wa ngumu...sasa akaona watanzania badoo wanamuitaji maji haya machafu ayamwage na kutengeza njia njema na mpya ...natumaini kaka yangu z...upo mbioni kwa hili usiogope jf watakuonaje angalia 3 yrs unatakiwa kuwa nani baadae
 
Ukweli bado sijaona jipya. Asingefanya hivyo ndio ningeshangaa. Tumeshaona mengi mpaka tumekuwa sugu. As for ZZK yeye ni mwanasiasa trying to attain his political ambitions, you can either believe in him or disbelieve him.
 
Behind the scene,ccm wanapata fedha kutoka mashirika ya umma,kwa sasa ni tanesco na bandari maana TRC walishamaliza kuikamua,kwa hiyo tusitegemee hatua kuchukuliwa dhidi ya wakosaji
 
Speechless!!!! Tumezoeshwa kuzoea ufisadi! Huu nao upepo tu!!!
 
Back
Top Bottom