NYARAKA: Madudu mengine ya William Mhando ndani ya TANESCO

NYARAKA: Madudu mengine ya William Mhando ndani ya TANESCO

Mkuu Mobona siioni Connection kati ya MC DONALD LIVELINE TECHNOLOGY na TANESCO?

Issue ya SANTA CLARA na TANESCO haina ubishi hata kidogo, Muhando lazima awajibike kwa sababu kuna conflict of interest.

Owners wa Mc Donald Live Line Technologies kwa mujibu wa hizo nyaraka ni nani na nani? Na kila mmoja anachukua kiasi gani? Na kiasi gani kinaachwa kama operational cost?

Na je Mc Donald wanashughulika na nini kwa mujibu wa hizo nyaraka?
Ukiweza kujibu hayo ndo rudi tena hapa
 
hawa wa..nge hizi taasisi za umma wanazifanya kama za kwao na family zao....only in TZ yaani......Hawa adhabu yao muafaka ni kunyonga tu...just hang the mother****ers.....shit.....
 
Ndo maana ni vizuri ukishakuwa na cheo kikubwa hivi ukawa na washauri wa mambo mbalimbali ambao hawakuogopi.....siyo rafiki zako ambao kila kitu "ndio mzee". hata na wake zenu pia wawe nao........... Watu wengi wanaingizwa kwenye mambo kama haya na wake zao.......Tunakumbuka wakati wa Mwinyi?
watu wengi wanajua weak point ya waume ni wake zao, ndo maana kama mume ni strong, watajitahidi kupitishia madudu through mkeo. na kama mke ndo wa hivyo tena....imekula kwako.
 
Wakuu zangu mtanisamehe kwa hili.
Hivi nyie mnaishi Tanzania ipi? mbona haya ni ya kawaida kabisa! hakuna waziri, CEO wala mkurugenzi asiyefanya haya ndio ma deal ya mjini toka ubepari wa Azimio la Zanzibar. Nenda mashirika yote ya Umma, wizara na idara zake ndivyo kazi unavyofanyika nchini, Contracts zote hupewa ndugu, marafiki au mnaunda ushirika (mutual understanding) na mheshimiwa na kugawana shares.

Hivi watu tunaposema Tanzania unatafunwa ikiwa mbichi bado hamuamini mnafikiri kesi kama hii ni jambo la kushangaza sana. It's all over the board...
 
Hata kama watu watasema ZZK hahusiki now that things are out in the open we need to know where does he stand?

And it doesn't cross my mind a brilliant leader like ZZK would not even by hunch take an interest in the Tanesco affair(incessant blackouts) which would have led to unearthing of this dirt
 
Huyo Mhando alikosa aibu kabisa!

Yaani mtu anaiba Live Live mchana kweupee!

Au ndio yale yanayosemwa kwamba ukimuona KObe juu ya mti ujue kapandishwa?
 
Huyo Mhando alikosa aibu kabisa!

Yaani mtu anaiba Live Live mchana kweupee!

Au ndio yale yanayosemwa kwamba ukimuona KObe juu ya mti ujue kapandishwa?

Nakubaliana na wewe mkuu, yaani anatumia majina yake na ya wanawe, he is so stupid
 
Summary ya mchezo mzima iko hivi,

Mhando atatoa kiingilio cha 10Mil,

Kisha atatafuta wateja (Tanesco) na kuwapeleka kwenye kampuni ile. Mc Donald yeye atakua akipiga mzigo hapo kuhakikisha kazi inafanyika poa, huku Partner mwenza bwana Mhando akijificha nyuma yake.

Mapato watagawana 30% Mhando, 30% Mc Donald na 40% iliyobaki inabaki kwa kampuni.

Kwa wasiomjua Mc Donald ndio aliotapeliwa au kuchunwa na muigizaji wa Bongomovie aitwae Johari mtaji wa kuanzisha kampuni ya filam ambayo anaimiliki kwa ubia na msanii mwenzie Ray ya RJ Film. Johari alitoa mtaji, Ray akatoa idea
Wala hajatapeliwa wala nini kwa maana katika baadhi ya kazi ambazo kampuni yake imefanya walikuwa wanawatumia wafanyakazi wa Tanesco ambao hawakuwa wanalipwa kutokana na kazi hiyo (walikuwa wanajiona kuwa wanafanya kazi za kampuni iliyowaajiri yaani tanesco)
 
kwa mwenzo huu ndo mana
-tukilalamika unga umepanda bei hakuna anayeelewa
-vifaa vya kujifungulia mahospitali hakuna hakuna anayeelewa huko serikalini
-watoto wanamaliza darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika hakuna anayejali huko juu
-kina mama wanajifungulia njia barabara mbovu wala hawajali
-mafuta yamepanda bei wao wanacheka tu
-sukari haipatikani wanatuona majuha tu
-vitabu hakuna mashuleni wao kwao ni sherehe
-walimu hawalipwi mishahara stahiki wao kicheko tu
-madaktari wanadai vifaa na madawa wao wanapiga ngoma na vibwaya mkononi
TANZANIA TANZANI!WAPI TUNAENDA WAPI TUNAKUPELEKA!NINI TUNAWAACHIA WATOTO WETU !
napata shida sana kuchangia mada kama hizi!HASIRA YANGU JUU YA WAJAA LAANA HAWA ,HAKIKA NI KUU!
 
Katika dunia hii ya Mungu, upuuzi wote hufunuliwa tu hata kwa vizazi vijavyo. Kiongozi anayefanya madudu kwa kufikiria amejificha, huishia kwenye fedheha sana kwake yeye au kizazi chake. Eti "SECRET''.
 
Wazee, hizi kelele za kila siku tunazopiga zitaisha lini. kwa nini tusianzishe Alliance itakayokuwa inatafuta mabadiliko kwa vitendo. Hawa jamaa wanakula, na sisi tunajiona werevu kwa kugundua ulaji wao, and then baaaaaaaass!!!!!

Tutafute namna ya kuchukua hatua, vitendo vinavyoongea zaidi kuliko maneno. Mapendekezo yangu:

1. Tuvamie ubalozi/balozi wa marekani katika kikao chochote, na kumfanya atoe pressure juu ya uongozi/viongozi wetu.

2. Kuwakamata mateka kina mukama,kingunge,gavana wa mabenki, chenge,lowassa na kuwafanya kitu mbaya!

3. Kuingilia vitega uchumi vilivyopatikana kwa njia kama hizi chafu - na kuvihujumu!

4. Kuwapiga mitaani wake zao / watoto wao popote walipo (hadharani) hadi itakapokuwa vigumu kwa wao kufanya ushenzi huu

5. JF iwe na research unit which is different from the discussion forum, which among other things will deal with giving technical analysis/ consultation to the departments/ organizations/ ministries for the interest of our nation. Hii itakuwa tofauti na discussion forum where people gives there opinion.

We can not continue with this business of expressing our emotions that doesn't give any meaningful outcome. Lets stop this cheap talks! lets get into actions!
 
Wakuu zangu mtanisamehe kwa hili.
Hivi nyie mnaishi Tanzania ipi? mbona haya ni ya kawaida kabisa! hakuna waziri, CEO wala mkurugenzi asiyefanya haya ndio ma deal ya mjini toka ubepari wa Azimio la Zanzibar. Nenda mashirika yote ya Umma, wizara na idara zake ndivyo kazi unavyofanyika nchini, Contracts zote hupewa ndugu, marafiki au mnaunda ushirika (mutual understanding) na mheshimiwa na kugawana shares.

Hivi watu tunaposema Tanzania unatafunwa ikiwa mbichi bado hamuamini mnafikiri kesi kama hii ni jambo la kushangaza sana. It's all over the board...
Na ukiwa kinyume na hivyo utaitwa majina yote mabaya....

Ndio maana wengine wetu hapa tunakuwaga wazito sana kuamini katika dhamira "safi" ya serikali katika jambo lolote....

Jana nilikuwa naangalia kipindi cha Pascal Mayalla ITV, nadhani kitaendelea na leo. Anasimulia kwa mbwembwe nyiingi juu ya mradi unaotarajiwa kuzinduliwa na JK wa ujenzi wa mitambo ya kituo cha ukusanyaji wa Gesi Asilia toka Mtwara....

Pilikapilika na mbwembwe zote zinazoendelea Kinyerezi ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine katika nchi hii.

Katika namna ambavyo mfumo wa maadili unavuja namna hii, hamna mradi wowote wa maendeleo utaleta tija tarajiwa hata kidogo.

Nawapa pole ambao bado wana imani na serikali za CCM!
 
mkubwa si kwamba wanafukuzwa tu, kuna habari kuwa huyu jamaa atapata haki zake kama vile aliyeachishwa kazi na siyo amefukuzwa!!
 
usanii mtupu hakuna jipya huu ni uhuni ccm ndio waliofanya haya yote maana sina imani kama Mhando alifanya yeye kama yeye bali ulikuwepo mkono wa ccm ndani yake na baraka zote
 
ama kweli kwa mtindo huu........... nchi inajengwa na wenye moyo (hivi wenye moyo bado wapo?) na kuliwa na wenye meno.......

Kidumu Chama Cha Mapinduzi... wadumu wanachama wa "chukua chako mapema" zidumu fikra za mwenyekiti...

Kigumu chama cha mapinduzi....loh...

 
all i can say is duh!!!!!!!!mtoto wa dh.aifu na dh.aifu mwenyewe hawakosi kwenye huu mzigo ndo maana board ya tanesco imesema mhando hatashitakiwa mahakamani...ccm na jk ni janga la taifa indeed
 
Asante wiki sana wiki liki yetu inayomwaga mau kweli yanayowauma wenye chama chao na nchi yao kama anavyotanabaisha mwanakijiji
 
Back
Top Bottom