masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Mkuu Matola , usishangae sana na revelation hii.Kuna Mbunge mmoja namuona tuko pamoja naye hapa kwenye huu uzi, tufikishie salaam kwa Zitto Kabwe kwamba Janja yake ya Nyani tumeshambaini aendelee kuwadanganya Wasanii Wenzake wa Kigoma Leka Dutigite.
There are currently 79 users browsing this thread. (8 members and 71 guests)
The logic is simple.
Wanasiasa wakubwa wameweza kuihujumu TANESCO, huku wafanyakazi wa TANESCO wakifahamu na kukaa kimya au kutotoa siri hizo, ili kuwalinda vigogo hao.
Leo nani wa kumchukulia hatua Mhando and co. ambaye naye aliamua kujilia kivyake toka 2008, akijua wazi kuwa ana siri nyingi moyoni?
Leo Mhando ametoswa, he is indanger!