umeanza udini wako sasa!Kwa upande wa kanisa analosali, hawatakaa wakubali ni mwizi simply bse alikuwa ni mtoa sadaka mzuri.
Acheni ushabiki wa kijinga .... kosa lipo wapi hapo?
Hayo mambo yanahusiana vipi na mgao wa umeme au kutoa rushwa kwa wabunge?
Mnaanza kurudia yale yale ya DOWANS.
haya hao wabunge kwenye ile kamati ya nishati na madini waliotaka mhando abaki na kwamba wakawa wanamtetea na wakawa mpaka na mpango wa kutoipitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini wako wapi? naomba tuwataje hao wabunge hapa....WE SHOULD NAME AND SHAME THEM!!
Mkuu hii kaya iliyooza kuna wa kum-vet mwenzie kweli? Bila kuondoa huu mfumo tusahau kabisa maendeleo ambayo hayawezi kamwe kuletwa na akili zile zile zilizoyadunisha.
Natamani Uamsho, Ponda, na wanaharakati wengine focus yao kubwa ingekuwa kuwaunganisha watanzania wote dhidi ya upuuzi kama huu badala ya kujiangalia wao binafsi au makundi yao. Tuna safari ndefu mno.
PART II:
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Idara yake ya Habari na Uenezi kitaibuka soon kuipongeza Bodi ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kwa kumsimamisha Mkurugenzi Mkuu kutokana na tuhuma mbali mbali.
Aidha, chama kitawaonya watendaji wengine wote wa taasisi za umma kutojihusisha na vitendo vilivyo kinyume na maadili ya kazi zao kwani sio sera ya chama wala ya serikali ya CCM.
Mwisho, chama kitawaomba watanzania wote kuwa watulivu wakati hatua stahiki dhidi ya "TUHUMA" hizo zikiendelea kuchukuliwa na mamlaka husika.
Itatolewa Leo,
Idara ya Habari na Uenezi, Makao Makuu.
Halafu, UWT, UVCCM, Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, TAHLISO, na jumuiya nyingine za Chama zitatoa "press releases" kuunga mkono hatua hiyo. Kisha UVCCM wataomba kibali cha maandamano kuiunga mkono serikali halafu Jeshi la Polisi litayazuia kutokana na hali tete iliyopo nchini.
NA MCHEZO UTAKUWA UMEISHIA HAPO. Ha ha ha ha ha!......
Hatujui la kufanya, tufanye nini sasa????? Mabomu ya machozi na mauwaji ya Mwangosi, mauwaji Arusha, mabomu , mabomu, MABOMU!!!!watanzania mnataka kushuhudia au kusikia jambo lipi ili tufanye maamuzi?.....
kwa upande wa kanisa analosali, hawatakaa wakubali ni mwizi simply bse alikuwa ni mtoa sadaka mzuri.
Huyu mnyakyusa mwenzangu Mc Donald nilikutana naye Rwanda kwenye pilika za maonyesho ya mambo yao ya Umeme.Jamaa ni Predeshee wa ukweli ,kwanza nilijiuliza maswali mengi sana kuhusu mafanikio yake ya kutisha kumbe haya ndio madudu wanayofanya.
Kweli nchi yetu inatafunwa
Mwakamele huyu yupo hai na anajulikana kama McDonald. Kuna kipindi fulani alipigwa changa la macho na kina Ray na Johari alipojiingiza kwenye masuala ya Movie, baadaye akatengeneza sinema ya 'Mtoto wa Mjini' iliyokuwa ikimponda Ray...Mwakamele huyu ndiyo Pedeshee Mwakamele ambaye sasa ni marehemu au huyu ni mwingine?......
Mkuu Mobona siioni Connection kati ya MC DONALD LIVELINE TECHNOLOGY na TANESCO?
Issue ya SANTA CLARA na TANESCO haina ubishi hata kidogo, Muhando lazima awajibike kwa sababu kuna conflict of interest.
Hapo ndipo atakapoona gharama ya kuwa white elephat. Kwa hili ni lazima aingie kikaangoni tu, kumtetea mtu kumbe hamnazo aiseeee.