No matter how sweet it is......

No matter how sweet it is......

Bila shaka Lack of money lazima imehusika kwenye huu uzi, Tutafute hela.
 

See Baby it can't work between us.... we just have to end it here...
Thanks for the sweet moments we shared and sorry for the bad ones...
Sorry love


Na hapo umepelekwa kwenye bongeeee la dinner...unaweza tamani kupaa au kutapika ulicholishwa
Hapo unashindwa kujibu chochote machozi yanakua yanakulenga lenga tu
 
Nakadori umeniquote hapo juu .mkuu unajua ilikuwaje???

Kuna mwanamke so beautiful. unajua beautiful wewe basi ndio yule anaitwa Naomi .
yule mwanamke hatukutongozana ila ni love at first sight. hiyo ni 2020.
Alikuwa bikra kabisa. Alisema kawabania wote kanipa mimi hiyo chance. sikufanya ajizi .Alinipenda sana nilimpenda kwani alinitoa katika stress za mapenzi ndio akawa tiba yangu.
maisha yakaenda nimemaliza chuo mambo hayaendi mtoto yuko na mimi tu. imefika stage mwaka Jana wa kumi nikamuweka chini

nikamuambia mama maisha yangu naona kutoboa kwa sasa ni ngumu najua hujawa influenced na chchte kuwa na me ila pesa ni muhimu pia kwenye mapenzi ila please ona hadi ninashindwa kukununulia jezi ya Yanga . kweli hii sio sawa najua itafika Kipindi utanichoka .

kwanza wakuu nilifikiria sana kbla ya kufikia uamuzi huo. ila nikawa sina jinsi ila nikawa na hope mambo yanaenda pouwa imani nilikuwa nayo na bado ninayo kuwa kutoboa hakuko mbali.
,
basi alinielewa lakini mimi nikijisema kwamba akikataa kuniacha na kunivumilia basi once nikitoboa siji spend maisha na mwanamke mwingine zaidi yake.
Lakini Ndyo hivyo alienda huku nampenda.

Guess what November nimeitwa job baada ya kupass certain i nterview baada ya kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
natamani ningekuwa na Wewe Naomi muda huu nikununulie raba nyeupe na jersey ya Yanga kama nilivokuahidi maana sahivi Mambo yangu yamenyooka .

inapain ila sina jinsi .
Mnunulie mpelekee kama zawadi ya shukrani kwa kipindi alichokuvumilia mkuu
 
Njoo kwangu kuna Everlasting Sweetness!
Hahaha everlasting sweetness ipo mbinguni tu maana hata duniani penyewe pamoja na kuwa na yesu bado tabu ziko pale pale....ila tumaini tu ndo huwa lipo
 
Bila shaka Lack of money lazima imehusika kwenye huu uzi, Tutafute hela.
🤣🤣🤣🤣
Chezea kuachwa ww...
Watu wanaanza kujitoa sasa mara ooh ntakupa hela ya kusuka naona nywele zimechakaa
 
Asee haya mambo yapo na yanaumizaa. Ila ukiwa single mda mrefu Kuna time unamiss moments za kutoa chozi tena kwaajili ya mapenzi looh. Huyo nlitoka kwe mbavu zake sjui Yuko api kwani
Pambana usiwe weak japo vinauma...
 
Heri ya mwaka mpya waungwana...
Mapendo daima...
Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is.... yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.

Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?
Mm ukinipenda nakuganda😂🙌
I can't let someone sweet go away 🤣🥳
 
First love ang alikua arabic girl,
Her innocent eyes still haunting me,
Its poignant reminder with indelible pain in my heart.

The nostalgic feelings of good old days.

Her pit innocent eyes it's hard to forget, we were strangers in a very strange land, we felt in love and one morning she woke up and said it's over 🥺
Believe me it really was and she is irreplaceable 😔
 
Back
Top Bottom