EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,136
- 13,396
Kuna kabinti kaliambiwa na jamaa yangu maneno ya kufanana na hayo mbele ya macho yangu majuzi nimekutana nako. Nikakauliza ulijisikiaje baada ya jamaa kukupa vile vidonge.Kakanijibu ilibaki kidogo nijinyee haa haa.Kanadai bado jamaa anazunguka kichwani.