Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,184
Natakiwa kuchukua uamuzi kama huu ila I am very deeply in love with her, shida bado mtoto sana kwangu enough to be my daughter. I am in love with wrong personHeri ya mwaka mpya waungwana...
Mapendo daima...
Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is.... yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.
Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?

