Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Hilo limtu tayari limekuondolea u singo etiWala sijasema neno ila tu kuwa single Kuna wakati kunachosha so unaamua tu ukomae na limtu lako
Hilo limtu tayari limekuondolea u singo etiWala sijasema neno ila tu kuwa single Kuna wakati kunachosha so unaamua tu ukomae na limtu lako
me huwezi ntisha hivyo sikupi hela yoyote nakuambia pita hivi😁😁🤣🤣🤣🤣
Chezea kuachwa ww...
Watu wanaanza kujitoa sasa mara ooh ntakupa hela ya kusuka naona nywele zimechakaa
Si yule mjomba ake mwenye alikuwa akidate nayeUmembwaga mwanaume huko mpendwa?
Hongera kwa kuwa single afadhali utaanza kumjibu pm sasa
😄😄😄😄😄😄Ikisimama panda, ikisimama tena shuka
Mhhh nani kasemaHilo limtu tayari limekuondolea u singo eti
kwahiyo jamaa ameamua kuwa mtumwa?Nimeona kwa shost angu...
Yeye alimaanisha ila jamaa kakataa kuachika
HapanaaaaaaMhurumiee
Kila la kheri scNilikuwa napita tu
AsanteKila la kheri sc
Kama unanisema hiviiiiHeri ya mwaka mpya waungwana...
Mapendo daima...
Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is.... yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.
Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?