No matter how sweet it is......

No matter how sweet it is......

Ukiona mtu anakuchapa kwa hilo tukio jua tayari kashapata sehemu nyingine ( greener pastures) ya kuhemea.

Hii tabia Mara nyingi inaendekezwa na wanawake.
Kuna mtu huko nje kashapigwa kibuti na Nakadori😂
🤣🤣🤣🤣
See Baby it can't work between us.... we just have to end it here...
Thanks for the sweet moments we shared and sorry for the bad ones...
Sorry love

Na hapo umepelekwa kwenye bongeeee la dinner...unaweza tamani kupaa au kutapika ulicholishwa 🤣🤣🤣🤣
 
Heri ya mwaka mpya waungwana...
Mapendo daima...
Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is.... yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.

Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?
Nimefurahi uko single Sasa,lile jibu langu vipi mrembo?
 
🤣🤣🤣🤣
See Baby it can't work between us.... we just have to end it here...
Thanks for the sweet moments we shared and sorry for the bad ones...
Sorry love

Na hapo umepelekwa kwenye bongeeee la dinner...unaweza tamani kupaa au kutapika ulicholishwa 🤣🤣🤣🤣
Improtou dumping that is😂, I can't imagine the degree of pain one can feel in that situation.
Hapa unaweza hisi Dunia yako imefika mwisho ghafla.
 
Heri ya mwaka mpya waungwana...
Mapendo daima...
Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is.... yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.

Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?
💯🤝 Kweli
 
Wapo ving'ang'anizi wanaokataa kuachika
Sasa baada ya hapo hakuna picha wanaacha kuona
Ila dalili za kuachwa huwa zinaanza kuonekana mapema tu.Ukiwa sharp minded then probably you'll be the first one to take the move😂 Yaani Ile yeye anajiandaa kukupiga " character development" wewe ushajiongeza tayari kwa kumove on.
Watu wengi hawajui kusoma alama za nyakati,wakipigwa kibuti Cha ghafla wanagala gals Kama watoto wadogo.
 
Wapo wasioonesha hata
Unakuta umemtunuku mtu tunda amenogewa...ashaanza na wivu za kijinga za kutaka kujua ratiba na why kweny video call hukuonekana vizuri kama vile unaficha kitu...then out of no where unampiga cha mbavu kwa style ya am sorry it can't work coz of this and that.....
 
Kinachotugharimu ni matarajio ya kupata vizuri na vinavyopendeza na tunavyovitamani na vya kutufurahisha kutoka kwa binadamu mwenzetu ambaye naye anatarajia hivyo hivyo.

Mwisho wa yote vinakisekana kwa sababu binadamu hatujawahi kutosheka na kimoja, ukipata hiki utataka kile ukipata kile utataka kingine, ongezea na ugumu wa maisha, matokeo yanakuwa ndio hayo.

Kwa sasa watu wanaoishi kwa amani na furaha ni watawa pekee, kwao ni changamoto za kawaida ambazo kila kiumbe anazo.
 
Duh! Indeed that's a very diplomatic way of parting ways.I can't even know how I can cope up with the situation if I was the victim 🤔 Bt the bottom line of is that you just have to accept the outcome and move on swiftly
Wapo wasioonesha hata
Unakuta umemtunuku mtu tunda amenogewa...ashaanza na wivu za kijinga za kutaka kujua ratiba na why kweny video call hukuonekana vizuri kama vile unaficha kitu...then out of no where unampiga cha mbavu kwa style ya am sorry it can't work coz of this and that.....
 
Duh! Indeed that's a very diplomatic way of parting ways.I can't even know how I can cope up with the situation if I was the victim 🤔 Bt the bottom line of is that you just have to accept the outcome and move on swiftly
Dunia ina majasusiiii
 
Back
Top Bottom