Inatokea sana Manzi mmoja tulifall vibaya mno ila me mwenyewe nikajitoa kwa sababu asee nilimdanganya vitu vingi sana !! Vingi mno kiasi kwamba tungeingia kwenye ndoa tulikaa kama mwaka hivi ! Alikua mzuri sana na anapenda maisha fulani hivi unyamwezi sana !! Alikua mwaminifu sana , niliamua kumpotezea tu maana nilikua muongo mno !!! Na sijawahi kukutana kama yeye [emoji23][emoji23][emoji23] Yan nakutana na mavimpire unyama unyama nisingekua Nakaza wangeshanitoa roho !! Sasa nataka kurudi kwa mtoto mzuri hadi leo anaelewa ila mauongo dadeki