Kumbe wew man ndio ulimtoa bikira naomi wangu.Nakadori umeniquote hapo juu .mkuu unajua ilikuwaje???
Kuna mwanamke so beautiful. unajua beautiful wewe basi ndio yule anaitwa Naomi .
yule mwanamke hatukutongozana ila ni love at first sight. hiyo ni 2020.
Alikuwa bikra kabisa. Alisema kawabania wote kanipa mimi hiyo chance. sikufanya ajizi .Alinipenda sana nilimpenda kwani alinitoa katika stress za mapenzi ndio akawa tiba yangu.
maisha yakaenda nimemaliza chuo mambo hayaendi mtoto yuko na mimi tu. imefika stage mwaka Jana wa kumi nikamuweka chini
nikamuambia mama maisha yangu naona kutoboa kwa sasa ni ngumu najua hujawa influenced na chchte kuwa na me ila pesa ni muhimu pia kwenye mapenzi ila please ona hadi ninashindwa kukununulia jezi ya Yanga . kweli hii sio sawa najua itafika Kipindi utanichoka .
kwanza wakuu nilifikiria sana kbla ya kufikia uamuzi huo. ila nikawa sina jinsi ila nikawa na hope mambo yanaenda pouwa imani nilikuwa nayo na bado ninayo kuwa kutoboa hakuko mbali.
,
basi alinielewa lakini mimi nikijisema kwamba akikataa kuniacha na kunivumilia basi once nikitoboa siji spend maisha na mwanamke mwingine zaidi yake.
Lakini Ndyo hivyo alienda huku nampenda.
Guess what November nimeitwa job baada ya kupass certain i nterview baada ya kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
natamani ningekuwa na Wewe Naomi muda huu nikununulie raba nyeupe na jersey ya Yanga kama nilivokuahidi maana sahivi Mambo yangu yamenyooka .
inapain ila sina jinsi .
For-real man! 😔Improtou dumping that is😂, I can't imagine the degree of pain one can feel in that situation.
Hapa unaweza hisi Dunia yako imefika mwisho ghafla.
Yes nishakutana nayo.Heri ya mwaka mpya waungwana...
Mapendo daima...
Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is.... yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.
Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?
Kuna watu hata uwafanyie matukio ili wakuache.It happens. Last time ilibidi nitafute a very diplomatic way to cut things off. Unaona kabisa things are going well, mtoto wa watu anakuja mzima mzima, ila ukiangalia mbele unajua hamtoboi.
Kuna wanaoambiwa ukweli kwamba things won't work out, kuna wanaopigwa matukio ili tu kuwacut off, then kuna ambao unawatengenezea mazingira wakuache wenyewe!
Crazy stupid love!
Pusha wako yuko serious sana na kazi yake 😂Ndio wa jf walivyoo mwaya
Itakugharimu kaka... Njia ya muongo ni fupi na matokeo ya uongo ni mabaya sana! Mfanye mwenza wako akupende the way ulivyo.Inatokea sana Manzi mmoja tulifall vibaya mno ila me mwenyewe nikajitoa kwa sababu asee nilimdanganya vitu vingi sana !! Vingi mno kiasi kwamba tungeingia kwenye ndoa tulikaa kama mwaka hivi ! Alikua mzuri sana na anapenda maisha fulani hivi unyamwezi sana !! Alikua mwaminifu sana , niliamua kumpotezea tu maana nilikua muongo mno !!! Na sijawahi kukutana kama yeye 😂😂😂 Yan nakutana na mavimpire unyama unyama nisingekua Nakaza wangeshanitoa roho !! Sasa nataka kurudi kwa mtoto mzuri hadi leo anaelewa ila mauongo dadeki
MuondoeYes nishakutana nayo.
Nilimpenda binti mzuri sana baada ya kumtongoza kwa wiki nne usiku na mchana (ni kweli usiku na mchana) alikuja kunikubalia Alfajiri moja hivi huku adhana inalia
Sharti ikabidi tudate kwa miaka miwili ya chuo kisha kila mmoja aende na maisha yake, ile siku tunafanya graduu kama movie la kihindi
She’s in my hearts mpaka sasa Sijaona mwanamke mwenye moyo safi kama yule
Ulikuwa unamlea jamaa?! 😃😃😄😄😅🙌🏾Tatizo linakuja baada ya kufanya calculatio na kuona mtu ni liability than an asset..
Unajiuliza nilipendaje pale?? Mbona kama hapaelewekiii ndo unaanza siasaaaza kumuacha... hapo hata kama ni kiporo kitapashika kwa shida sanaa
Mkuu mcheki mpe hata zawadi kwa walau kukuvumilia kipindi kifupiHapana ni yuko kwa early 20s
Depal uko sahihi 100%Muondoe
Utawapa shida wengine.
Utakuwa unafanya mlinganisho, then unagundua hawana hata nusu ya yule,, unaanza kuwapuuzia.
Penzi linakuwa halinogi inavyotakiwa.
Jamani sio kwambaaa nimeachwaaa...😅😅😅ilaa Kuna mahali haiwezi kuwork kbsaaa even though kunaa masweet moments kibaoo😅😅😅lzmaa maisha yaendeleeeMambo mremboo
Sasa huo uchizi... sometimes utamuacha mtu sahihi maishani baadae ndo unagundua when it's too late!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunawabamizaaa tuu
HahahaSasa huo uchizi... sometimes utamuacha mtu sahihi maishani baadae ndo unagundua when it's too late!
Hahaha me mwenyewe napenda kulelewa halafu nikulee wewe..... kulea mwanaume.ni big no...Ulikuwa unamlea jamaa?! 😃😃😄😄😅🙌🏾
Maana vijana wa sasa hawana haya... wanaomba pesa mpaka kwa mademu zao siku hizi 😂😂🙌🏾
So unamkula cousin?Depal uko sahihi 100%
Baada ya yeye wamekuja wengi sana na kwa baadhi yao nilikuwa muwazi kuwa kuna mtu kichwani na wakanikubali hivyo hivyo na mapenzi niliyoishi sikuwa na moyo i had so much fun nila hisia
Mpka nilipokutana na Cousin wangu, kiboko yangu, Ex wangu huyu ndiyo nataka niweke mambo sawa nimsahau yule
Maana walau Cousin ndiye anafanana naye,
Hayajakukuta... waulize wenzio ila sidhani kama watakubali kukwambia maana mpaka mwanamke akimhudumia au kumpiga tough mwanaume wake kampenda kweli na kwa dhatiHahaha me mwenyewe napenda kulelewa halafu nikulee wewe..... kulea mwanaume.ni big no...
Eti bebi naomba nauli nije...haha aloooo
Me labda nimkopeshe na asipolipa ndo ticket ya kibutiHayajakukuta... waulize wenzio ila sidhani kama watakubali kukwambia maana mpaka mwanamke akimhudumia au kumpiga tough mwanaume wake kampenda kweli na kwa dhati
Duhh! 😂😂😂😂👍🏾Me labda nimkopeshe na asipolipa ndo ticket ya kibuti
Kulea mwanaume big no