No matter how sweet it is......

No matter how sweet it is......

Nakadori umeniquote hapo juu .mkuu unajua ilikuwaje???

Kuna mwanamke so beautiful. unajua beautiful wewe basi ndio yule anaitwa Naomi .
yule mwanamke hatukutongozana ila ni love at first sight. hiyo ni 2020.
Alikuwa bikra kabisa. Alisema kawabania wote kanipa mimi hiyo chance. sikufanya ajizi .Alinipenda sana nilimpenda kwani alinitoa katika stress za mapenzi ndio akawa tiba yangu.
maisha yakaenda nimemaliza chuo mambo hayaendi mtoto yuko na mimi tu. imefika stage mwaka Jana wa kumi nikamuweka chini

nikamuambia mama maisha yangu naona kutoboa kwa sasa ni ngumu najua hujawa influenced na chchte kuwa na me ila pesa ni muhimu pia kwenye mapenzi ila please ona hadi ninashindwa kukununulia jezi ya Yanga . kweli hii sio sawa najua itafika Kipindi utanichoka .

kwanza wakuu nilifikiria sana kbla ya kufikia uamuzi huo. ila nikawa sina jinsi ila nikawa na hope mambo yanaenda pouwa imani nilikuwa nayo na bado ninayo kuwa kutoboa hakuko mbali.
,
basi alinielewa lakini mimi nikijisema kwamba akikataa kuniacha na kunivumilia basi once nikitoboa siji spend maisha na mwanamke mwingine zaidi yake.
Lakini Ndyo hivyo alienda huku nampenda.

Guess what November nimeitwa job baada ya kupass certain i nterview baada ya kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
natamani ningekuwa na Wewe Naomi muda huu nikununulie raba nyeupe na jersey ya Yanga kama nilivokuahidi maana sahivi Mambo yangu yamenyooka .

inapain ila sina jinsi .
Sasa huoni hapo yeye ndio alikuwa jini mnyonya maendelea yako ta nyota umemuacha tu na kazi umepata mkuu shukuru Mungu jinamizi lililokupenda limeondoka kwa maisha yako
 
Naamini watu wanaotupenda zaidi tutawapata after death kwasababu wale wameumbwa kwaajili yetu tu, tutumie jitihada kutafuta maisha ya kweli baada ya kufa.
 
Mmmmhh maaana juzi tu hapa nimepewa maneno kaa hayo hayo eet tubaki kuwa marafiki tu eet nakupenda lakini kama rafiki tu
Hahahah polite way ya kuachwa hyo
Sio lazima mtukananeee wakati maisha bado yanaendelea
 
The power of letting go


Hii ni cheat code ya mafanikio kwenye uhusiano wowote ule iwe mapenzi,biashara or whatever

Inabd uwe unajua kipi ushikilie kipi ukiachie, kivipi na ni wakati gani na ni Kwa muda gani
 
Back
Top Bottom