No matter how sweet it is......

No matter how sweet it is......

Inatokea sana Manzi mmoja tulifall vibaya mno ila me mwenyewe nikajitoa kwa sababu asee nilimdanganya vitu vingi sana !! Vingi mno kiasi kwamba tungeingia kwenye ndoa tulikaa kama mwaka hivi ! Alikua mzuri sana na anapenda maisha fulani hivi unyamwezi sana !! Alikua mwaminifu sana , niliamua kumpotezea tu maana nilikua muongo mno !!! Na sijawahi kukutana kama yeye Yan nakutana na mavimpire unyama unyama nisingekua Nakaza wangeshanitoa roho !! Sasa nataka kurudi kwa mtoto mzuri hadi leo anaelewa ila mauongo dadeki
umekimbia Malaika umeangukia Kwa mavampires hahaah inabidi udance kizombi Zombi tuuu
 
Nakadori umeniquote hapo juu .mkuu unajua ilikuwaje???

Kuna mwanamke so beautiful. unajua beautiful wewe basi ndio yule anaitwa Naomi .
yule mwanamke hatukutongozana ila ni love at first sight. hiyo ni 2020.
Alikuwa bikra kabisa. Alisema kawabania wote kanipa mimi hiyo chance. sikufanya ajizi .Alinipenda sana nilimpenda kwani alinitoa katika stress za mapenzi ndio akawa tiba yangu.
maisha yakaenda nimemaliza chuo mambo hayaendi mtoto yuko na mimi tu. imefika stage mwaka Jana wa kumi nikamuweka chini

nikamuambia mama maisha yangu naona kutoboa kwa sasa ni ngumu najua hujawa influenced na chchte kuwa na me ila pesa ni muhimu pia kwenye mapenzi ila please ona hadi ninashindwa kukununulia jezi ya Yanga . kweli hii sio sawa najua itafika Kipindi utanichoka .

kwanza wakuu nilifikiria sana kbla ya kufikia uamuzi huo. ila nikawa sina jinsi ila nikawa na hope mambo yanaenda pouwa imani nilikuwa nayo na bado ninayo kuwa kutoboa hakuko mbali.
,
basi alinielewa lakini mimi nikijisema kwamba akikataa kuniacha na kunivumilia basi once nikitoboa siji spend maisha na mwanamke mwingine zaidi yake.
Lakini Ndyo hivyo alienda huku nampenda.

Guess what November nimeitwa job baada ya kupass certain i nterview baada ya kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
natamani ningekuwa na Wewe Naomi muda huu nikununulie raba nyeupe na jersey ya Yanga kama nilivokuahidi maana sahivi Mambo yangu yamenyooka .

inapain ila sina jinsi .
Noma saanaa. Mzeee karibu Ku mcall na kumuelezea
 
Heri ya mwaka mpya waungwana...

Mapendo daima...

Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is....

Yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.

Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?
Nakadori

Pole sana, hizo situations ni ngumu sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣Kwer hapa ndipo kwa kale kamsemo kasemako Simba mwenda pole ndie MLA nyama unapopigwa na kitu kizito angalia ni jinsi gani unaweza kuepukana nalo hilo swala unatakiwa ujue unapokua na mtu usome alama zake za nyakati ndiopo utajua upo na mtu wa aina gani
 
Heri ya mwaka mpya waungwana...

Mapendo daima...

Asee kuna mda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is....

Yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.

Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?
Imenikuta hii, I know how it feels.
 
Back
Top Bottom