No matter how sweet it is......

Natakiwa kuchukua uamuzi kama huu ila I am very deeply in love with her, shida bado mtoto sana kwangu enough to be my daughter. I am in love with wrong person
 
Natakiwa kuchukua uamuzi kama huu ila I am very deeply in love with her, shida bado mtoto sana kwangu enough to be my daughter. I am in love with wrong person
Thanks God nimechukua hatua japo nipo kwenye maumivu makali but I am moving. Mm ni aina ya wanaume ambao hupata shida sana inapofika suala la kuachana. Ila huwa nikiondoka naondoka polepole lakini kwa uhakika na bila makelele. Huyu nimeanza kwa kupunguza mawasiliano but inside me nateketea coz nlikuwa nampenda to the core, nitakata huduma hapa namsubiria tarehe za mshahara zifike ila hpa ndo pagumu maana mtoto yule huwa siwezi kumwona anashida nikavumilia hata kama tumegombana akilia kidogo tu huwa namtumia hela sasa mwezi huu sijui nitumie mbinu gani.
Naomba Mungu nipate mwingine mapema sana atanisaidia kumove on haraka maana nisipopata basi pengine nikajikuta nimerudi coz anakuja likizo mwisho wa mwezi wa 2 najua tu nikituma nauli ni mgeni wangu kwa wiki 1 ama 2 kabla hajaenda kwao
 
Upo sahihi kabisa ,kila mwanamke ninaedate nae nikija kuchunguza vizuri nagundua single mama yaani imekuwa kama mkosi.
 

ila ma cousin bana lazima waende mbingun wanajua kuishika mioyo
 
Uongo haujawahi kumwacha mtu salama 🀣🀣🀣
 
Jamani natamani Naomi wako arudi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…