Imagine nakupa kila kitu na nakuhonga na nakupeleka kokote labda kusafiri tu hatujawahi alafu unapigwa sound nje unaniacha... *****! 😂😂😂🙌🏾Ndo hvo mwanaume jitume utafute chako na cha watoto
Hivi we unasemaje?! 😃 nyie mpo timamu nyie?! 😅Mwanaume wa aina hiyo sio rahisi kuachwa ...
Labda kitandani.awe sifuri....
Yes mama, and am planning to marry herSo unamkula cousin?
Anaemuuzia huyo dada madawa, inatakiwa akamatwe na anyongwe mpaka kufa!Pusha wako yuko serious sana na kazi yake [emoji23]
Huamini unaweza kuachwa hata kama unatoa huduma na kila kitu?! Kama alipendwa na Mjukuu wa Azam au kikwete je?! Kwann apoteze muda na hohehae?! Au kama ni wewe upigwe sound na kigogo au mtoto wa kigogo utapoteza muda kuendelea na uliyenae sasa?! Kwa nyie wanawake wa sasa?! 😅😅😅Nimekuwa hamnazo tena??
MjombaMtoto wa Shangaz au mjomba?
Kumbe huyu Nakadori Ni mraibu wa haya mavitu ?! 😳😳😳Anaemuuzia huyo dada madawa, inatakiwa akamatwe na anyongwe mpaka kufa!
Nimeshtuka 😅👍🏾Acha basi ujinga....
Sijawahi kugusa wala sijawaza kugusa. Hata sura ya hizo kitu sizijui.
Inategemea ananipa nn huyoHuamini unaweza kuachwa hata kama unatoa huduma na kila kitu?! Kama alipendwa na Mjukuu wa Azam au kikwete je?! Kwann apoteze muda na hohehae?! Au kama ni wewe upigwe sound na kigogo au mtoto wa kigogo utapoteza muda kuendelea na uliyenae sasa?! Kwa nyie wanawake wa sasa?! 😅😅😅
ZambiiiKuna mtu nutamuacha kesho bila sababu
Nimemchoka tu
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app