Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

mousepad_grande.jpg
 
Jamani kuweni serious basi mbona kama naona hii habari imejaa utaniutani? Watu tumechoka jamani kama ni kweli na sie tutoroke maofisini alaaaaa!!!!
 
e ee sijui nimechelewa?!! Knyama na ubungo sio mbali ati, ngoja niende na chepe na chujio kabisaaaa.
 
Waendesha bodaboda,wapiga debe,machinga,wapita njia wamama,vijana hadi wazee wamejaa hapa ubungo darajani mandela road karibu na landmark hotel wako busy wanachimba dhahabu,nimeambiwa walianza tangu jana baada ya mtu moja kupata dhahabu.
chanzo mimi mwenyewe.

Mkuu we watoa taarifa wenzako wako mtaroni. We chelewa chelewa utakuta ishaisha ohoo.
 
Sasa hivi Ridhiwan atalifunga aneo na kusema alilinunua mwaka jana......

Yeye akichelewa, basi Freddy Lowassa atamuwahi..... Wapi Mkono na Chenge?

All in all, itatoka amri sasa hivi eneo lifungwe haraka sana kwani hiyo dhahabu ni mali ya ######.
 
hhaha kikitokea kitu kama hich patakuwa na uharibif wa hali ya juu watavunja hadi lami
 
Yaani kama huna anguvu kama mimi please usisogee hapo! Vurugu lake nadhani linapita lile la kugombania madaladala ya mbagala
 
kwel mkuu mimi nipo eneo la 2kio fanya fasta hujachelewa

NIna wasiwasi na hii habari, yaani upo eneo la tukio wenzio wanachimba madini wewe uko bust kupost JF? Aaaa wapi, ngoja nilinde kibarua changu permanent
 
FoolsGold.jpg


The mineral pyrite, or iron pyrite, also known as fool's gold, is an iron sulfide with the formula FeS[SUB]2[/SUB]. This mineral's metallic luster and pale brass-yellow hue give it a superficial resemblance to gold, hence the well-known nickname of fool's gold. The color has also led to the nicknames brass, brazzle, and Brazil, primarily used to refer to pyrite found in coal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom