Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
mkuu iko thread ingine kulee
Hakika hii kitu ni kweli,mimi ni mfanyabiashara wa madini,nilipata hizi news tangu jana usiku,nikatafuta vijana wangu wa kazi,na kwa vile zana za kazi ninazo kazi ikaanza saa saba usiku kuamkia leo,ilivyofika saa 12.30asubuhi leo tayari nilikuwa na mzigo ambao mnauona kwenye picha,hiyo picha ni baaada ya kusafishwa na kuwa refined.MDAU USIWE KAMA TOMASO,CHANGAMKIA FURSA HIZI
Tangu lini Dar Kukawa na dhahabu,kama ni kweli basi ni maajabu fulani
Dar es Salaam ndio jiji linaloongoza kwa kuwa na watu wanaotapelika kirahisi zaidi
Maneno mengi unatuwekea picha za kete za kuchezea bao. Weka picha ya watu na chombo lenyewe. Wote sio wa akili za kishikiwaPicha tu!hiyo hapo
Au watakua upande wa pili? Asante mkuu. Baadae ntapita maeneo ya hapo kijjiweni kunywa kahawa.
Hizo picha zinaonesha wapi? Hilo daraja unalifahamu? hilo gorofa linaloonekana kwa mbali unalifahamu?wewe uweenda kwenye daraja la ubungo ukiwa unakwenda mwenge,mkuu tuko huku kama unaelekea mbagala kariku na landmark hoter