Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,217
Waendesha bodaboda,wapiga debe,machinga,wapita njia wamama,vijana hadi wazee wamejaa hapa ubungo darajani mandela road karibu na landmark hotel wako busy wanachimba dhahabu,nimeambiwa walianza tangu jana baada ya mtu moja kupata dhahabu.
chanzo mimi mwenyewe.

=======================
habari hii ni ya uwongo na uzushi mkubwa!
nimepita hapo darajani muda si mrefu na wala sijaona chochote kinachoendelea na nimewauliza watu hapo darajani na nimejaribu kushuka chini, hakuna kitu!

mtu mmoja alinishangaa na kunijibu " ndugu hivi kuwe na dhahabu hapo chini unafikiri ungenikuta nipo naendelea kuchomelea hapa??"

attachment.php
attachment.php

cc kobun
 
Tonym Uko baa gani ? huu ni muda wa supi dio viroba

kaka nilipita jana nikaona nikadharau dah leo nyomi watu busy hapa jamaa kama watatu hivi wamepata mawe ya ukweli.umaskini kwisha
 
waendesha bodaboda,wapiga debe,machingaz,wapita njia wamama,vijana hadi wazee wamejaa hapa ubungu darajani mandela road karibu na landmark hoter wako busy wanachimba dhahabu,nimeambia walianza tangu jana baada ya mtu moja kupata dhahabu.chanzo mimi.

Seriously!!?
 
Tangu lini Dar Kukawa na dhahabu,kama ni kweli basi ni maajabu fulani
 
Changa la macho...kuna uwezekano kuna mmoja alidanganya amepata dhahabu hpo ndyo wa2 wengine wakakurupuka
 
Safari_=4 said:
Mkuu hebu kagua supu yako vizuri..........mimi niko hapa ubungo darajani
n dhahabu y mwamba au alluvial
 
Tangu lini Dar Kukawa na dhahabu,kama ni kweli basi ni maajabu fulani

Unashangaa dhahabu kuwepo Dar? Unadhani mkoa gani hapa Tanganyika hauna madini?
 
waendesha bodaboda,wapiga debe,machingaz,wapita njia wamama,vijana hadi wazee wamejaa hapa ubungu darajani mandela road karibu na landmark hoter wako busy wanachimba dhahabu,nimeambia walianza tangu jana baada ya mtu moja kupata dhahabu.chanzo mimi.
Nakushukuru sana mkuu kwa taarifa yako.Ngoja nifunge ofisi fasta tena hapo ndo mtaani kwangu ... mambo ya kudharau sio mazuri.ntawapa taarifa kamili baadae.
 
Kuwepo kw dhahabu c ajabu..sbb inawezakan n alluvial gold.huw inaletw na deposition either maji or volcanism.
 
Mda si mrefu wenyewe , "serkali" wataclaim eneo lao...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom