Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Halafu hapo hapo Ubungo Darajani kuna kakundi ka watu kama 15 wanachezesha karata tatu aka kekundu na keusi!
Kwanza hapo hapo hapo chini ya daraja kuna vibaka wanachukua mazoezi ya viungo pale na kuna kijiwe chao huko huko chini ya daraja, wasiyaone wao aone yeye mpita njia!
 
mbona hujatukanwa amekustahi tu, ulitaka watu waserereke wengi bondendi mkawakabe?? kibaka mweusi

Hahaaaaaa, Kaka nimecheka kweli hii comment yako. Huyu jamaa mhuni kweli
 
hahahaaa!!! hata UDSM nasikia imejaa dhahabu!

hii nchi yetu bana! viongozi wapo kama michoro tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom