Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Jamani kuweni serious basi mbona kama naona hii habari imejaa utaniutani? Watu tumechoka jamani kama ni kweli na sie tutoroke maofisini alaaaaa!!!!

kumbe bado upo ofisini tangu nimeleta uzi.fanya faster
 
Jamani ambaye yuko eneo la tukio atupie picha tuone jinsi hao watu walivyojaa. Wengine tuko mbali kidogo
 
Angalieni wadau kitu nilichopata,na bado niweka nyoka wangu kama 10,hakika tiketi ya kutoka imeshapatikana.
 
Attachments

Tangu lini Dar Kukawa na dhahabu,kama ni kweli basi ni maajabu fulani

Hiyo dhahabu itakuwa imeletwa na maji (alluvial gold) kutoka huko milima ya Kisarawe, Chalinze na Morogoro Ngerengere ambako vitiririka vya mto Msimbazi vinaanzia.

Alluvial Gold: Gold deposited by water movement
  • Fine gold and small nuggets Can be transported many kilometers from source of gold.
  • Can be ancient alluvial gold deposits in ground lifted high above current stream levels.
 
kumbe bado upo ofisini tangu nimeleta uzi.fanya faster

Mxuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Ningekuwa na likiboko lioe la kuchapia ng'ombe ningekulabua wewe!!Ujue nlishatafta bodaboda mie? Bahati mbaya posta kuna mvua tu, sjui nikusonye vipi uelewe vile umeniudhiiiii!
 
Angalieni wadau kitu nilichopata,na bado niweka nyoka wangu kama 10,hakika tiketi ya kutoka imeshapatikana.
Unafahamu kwamba uongo ni dhambi? Hayo sio mawe ya kuchezea MDAKO kweli
 
Sio uroho...Lazima vyanzo vya mapato vitambuliwe haraka iwezekanavyo. Halafu mnakuja hapa kutaka barabara nzuri, madawa hospitalini, shule zijengwe na vitabu viwepo, maabara nk. unafikiri zitatoka wapi. Nasisi tuweke kwenye V8 zetu mafuta ya kutosha, tulipate vikaoni 500,000 kwa siku, unafikiri zitaoka wapi? Acha utani bhana

hahaaha hizo ndoto mkuu wacha wamalizie twiga wetu tu
 
uongo live.............,
Hakika hii kitu ni kweli,mimi ni mfanyabiashara wa madini,nilipata hizi news tangu jana usiku,nikatafuta vijana wangu wa kazi,na kwa vile zana za kazi ninazo kazi ikaanza saa saba usiku kuamkia leo,ilivyofika saa 12.30asubuhi leo tayari nilikuwa na mzigo ambao mnauona kwenye picha,hiyo picha ni baaada ya kusafishwa na kuwa refined.MDAU USIWE KAMA TOMASO,CHANGAMKIA FURSA HIZI
 
DHAHABU DSM...

Wanakijiji wenzangu, nimepokea taarifa tatanishi.
Kuna mtu anasema maeneo ya Ubungo Darajani (Mandela Road) kuna watu wamejazana wakisaka dhahabu. Imesemwa kuwa jana kuna mtu aliokota dhahabu hapo na wengine wawili leo.

Hivyo watu wameacha shughuli zao na kukimbilia hapo kusaka bahati yao.

Naomba mwana UV aliyeko maeneo hayo atujuze kama taarifa hii ni sahihi kiasi gani......

Ni kweli Dar kuna Dhahabu kweli?
 
Haha haha dhahabu za ubungo always fake..kuna wajanja fulani huwa nazo kama dhahabu kweli vile..mie nahisi huo nadhani ni mtego wa wajanja kuvuna salio..twende polepole mkuu tutapata mrejesho uliokamilika.
 
Unafahamu kwamba uongo ni dhambi? Hayo sio mawe ya kuchezea MDAKO kweli

Hakika hii kitu ni kweli,mimi ni mfanyabiashara wa madini,nilipata hizi news tangu jana usiku,nikatafuta vijana wangu wa kazi,na kwa vile zana za kazi ninazo kazi ikaanza saa saba usiku kuamkia leo,ilivyofika saa 12.30asubuhi leo tayari nilikuwa na mzigo ambao mnauona kwenye picha,hiyo picha ni baaada ya kusafishwa na kuwa refined.MDAU USIWE KAMA TOMASO,CHANGAMKIA FURSA HIZI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom