Watanzania masikini lakini nchi tajiriUnashangaa dhahabu kuwepo Dar? Unadhani mkoa gani hapa Tanganyika hauna madini?
Usisahau kubeba chepe na sururu Malkia wangu, tuanze ujasiriamali mapema mapemangoja nije fasta eneo la tukio
Weka picha tafadhali
utapata tu subiri itv habar za saa
tunaomba picha tafadhali
Tunataka picha ili tuamini,manake wengine ni akina TOMASOUnataka picha ya nini?
Mkuu ni kweli hii habari?
ITV Washafika hapo?
Unataka picha ya nini?
Supu plus viroba... ??!! The worst food mixture. Kama mtu kawa chizi hivi
Mpaka sasa umepata vipande vingapi?kama huamini njoo hapa ubungo kijana nan kalewa pombe.tuko kazini
Unataka picha ya nini?
Mpaka sasa umepata vipande vingapi?