kwani wewe uko mbali na ubungo changamkia fursa hiyo mlimbwende!!Jamani mkipata hiyo dhahabu, mnikumbuke Dada yenu
Mkuu ni kweli hii habari?Mkuu hebu kagua supu yako vizuri..........mimi niko hapa ubungo darajani
Hilo eneo kama halina mwenyewe ngoja niwahi kituo cha uwekezaji ili nije niwekeze hapo, wachimbaji wadogo wadogo hamna chenu tena!waendesha bodaboda,wapiga debe,machingaz,wapita njia wamama,vijana hadi wazee wamejaa hapa ubungu darajani mandela road karibu na landmark hoter wako busy wanachimba dhahabu,nimeambia walianza tangu jana baada ya mtu moja kupata dhahabu.chanzo mimi.
Mkuu ni kweli hii habari?
Atakaechimba dhahabu bila kibali kutoka serikalin lazima apigwe na nasema atapigwa tuuu
Trying to trick people into believing something is real when it is not. Thanks MkuuYaweza kuwa ni hoax.........nimepita kitambo
Hilo eneo kama halina mwenyewe ngoja niwahi kituo cha uwekezaji ili nije niwekeze hapo, wachimbaji wadogo wadogo hamna chenu tena!
Kwa kodi itakayopatikana kwa uchimbaji wa dhahabu litajengwa daraja lingine zuri zaidi ya hilo. LOL..Kama ni kweli na hao wananchi wakiachwa hapo basi just in two days hakutakuwa na daraja.