Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

Weka picha.

gold1.jpg
 
Duh, hii habari nimechelewa kuiona nilikuwa napata pombe hapa river road hebu nishuke fasta kwa sababu hapa ni dk 10 tu kwa kukimbia.
 
Duh, hii habari nimechelewa kuiona nilikuwa napata pombe hapa river road hebu nishuke fasta kwa sababu hapa ni dk 10 tu kwa kukimbia.

karibu mkuu ila id yakn inasound kiuwekezaji zaidi
 
bora atafutwe mwekezaji mapema na sisi tupewe asilimia tatu yetu.
 
Hivi mnaotaka picha mko serious kweli??? Yani mtu aache kuchimba dhahabu aanze kupiga picha?? Hata hao waandish wa habar wenyewe usikute wameweka kamera pembeni wamezama mferejini.
Mtazamo tu!!
 
yerewiiiii, mpaka sasa sijui kibajaji changu nimekiacha barabarani lazima wakisukumie mtaroni, simu zote zimeshapotea lakini nachekerea.....yereeeeeeeeee, hizi siuzi hapa bongo ngoja nitafute soko la maana, hizi ni gram za kutosha nimepima kwenye mzani wangu wa ndani zinasoma kilo mbili na gramu kama mia saba.....au sijui mzani umechanganyikiwa huuu, siamini eti!!!
 
Abee!!
 
Pigeni picha inayoonyesha watu na daraja ili niamini..
 
uroho huo mkuu taarifa hazijadhibitishwa mnaanza kuweka bajeti?
Sio uroho...Lazima vyanzo vya mapato vitambuliwe haraka iwezekanavyo. Halafu mnakuja hapa kutaka barabara nzuri, madawa hospitalini, shule zijengwe na vitabu viwepo, maabara nk. unafikiri zitatoka wapi. Nasisi tuweke kwenye V8 zetu mafuta ya kutosha, tulipate vikaoni 500,000 kwa siku, unafikiri zitaoka wapi? Acha utani bhana
 
ngoja tulete wawekezaji hapo maana hii ccm uchaguzi mkuu huoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom