Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Trigeminal nerve ni CN number ngapi .?
Why is it called trigeminal ?
Where does it originate .?
Is it pure motor,mixed or pure sensory ?
How do we test for trigeminal nerve clinically ?
How will you diagnose trigeminal nerve damage cliniclly ?

Sent using Jamii Forums mobile app
(A)Cranial nerve

Ooh -olfactory
Ooh -optic
Ooh -oculomotor
To - Trigeminal
touch- trochlear
And -Abducent
Feel -Facial
A - Auditory/Vestibulocochlear
Girls- Glossopharyngeal
Vest -Vagus
Aahgh- Accessory
Heaven -Hypoglossal
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]meza hapo hiyo mnemonic.

2..Ni trigeminal sababu ina three branches.
3 MIXED.
Cranial nerve functions mnemonic "Some says mary money but my brother said big breats matters most"

S=Sensory
B=Both motor and Sensory
M=Motor

4.ORIGIN.
Trigeminal nerve ndiyo Cranial nerve pekee ambayo inatoka kwenye pons,asilimia kubwa zinatokea kwenye ponto-medulally junction au na baadhi above pons.

5. TEST
Unaweza uka test sensations au jaw jerk reflex kumbuka its both motor and Sensory nerve.

Sent from my Huawei mate 9
 
Salute boss [emoji61] we noma

trigeminal
tri - three
germinal -geminus -twins
Meaning three twins (opthalmic left and right) (maxillary left and right) (mandibular left and right)

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha jamaa sio poa
Amenfanya nrudie anatomy asee
Namkubal sana jamaa[emoji109][emoji109][emoji109]
 
Salute boss [emoji61] we noma

trigeminal
tri - three
germinal -geminus -twins
Meaning three twins (opthalmic left and right) (maxillary left and right) (mandibular left and right)

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Pamoja sana boss.

Sent from my Huawei mate 9
 
Btn lateral circumferential Femoral artery and medial circum. Femoral A. Which one have large number of branches to the femoral neck.
 
Obvious hapo ni medial femoral circumflex artery ndiyo ambayo kwa mfano mtu akapata pelvic# or # of the neck of femur na hiyo artery ikapata shida anakuwa kwenye hatari ya kupata AN of the femoral head

Sent from my Huawei mate 9
 
Obvious hapo ni medial femoral circumflex artery ndiyo ambayo kwa mfano mtu akapata pelvic# or # of the neck of femur na hiyo artery ikapata shida anakuwa kwenye hatari ya kupata AN of the femoral neck.

Sent from my Huawei mate 9
bro samahani kwa hili swali
tupe elimu yako basi tujue kwa maana hizo nondo hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Obvious hapo ni medial femoral circumflex artery ndiyo ambayo kwa mfano mtu akapata pelvic# or # of the neck of femur na hiyo artery ikapata shida anakuwa kwenye hatari ya kupata AN of the femoral neck.

Sent from my Huawei mate 9
Excellent! Do you know evans classification of intertrochanteric fractures???
 
Youngblood nakupongeza sana kwa kuleta post ya maana sana hapa.
Pili nakupa angalizo kwamba huja stick kwenye original intention ya post uliyotaka maswali kuhusu (anatomy) tu na si (physiology)
Ushauri wangu ni kwamba anayeuliza swali la physiology usilijibi bali umwelekeze kuwa hilo ni function of anatomy kisha uli phrase kwa kujibu anatomy. Naamini hii itasaidia uelewa kwa wenye elements za somo husika na wasio nazo lakini wako interested kujifunza.
Uanze na system mojawapo kuliko kwenda randomly maana tunahitaji kuwa na watu wengi wenye abc on medics may serve for first aid.
Nakupongeza tena na kui encourage ufikie physiological malfunctions na remedies.

Ni ushuri tu mkuu.
 
Nashukuru sana mkuu nitafanyia kazi ushauri wako.
Watu wengi sana wanachanganya kati ya Anatomy na Physiology

Sent from my Huawei mate 9
 
Back
Top Bottom