Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Mwanangu kila akipata malaria bandama inajaadamu na anakuwa anemic kwann? Na nn dawa yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali sio la anatomy ni la parasitology..
Lakini ngoja nimsaidie kujibu kama hauta jali.

Wadudu wanaosababisha malaria (plasmodium ) hushambulia chembe nyekundu za damu (red blood cells) na mwili wa binadamu una tabia ya kuclear cells zote zilizoathiriwa .
Na sehemu ambayo hutumika kuharibu cells zote zilizo kuwa infected na plasmodium ni kwenye spleen (bandama) hivyo husababisha damu nyingi kwenda kwenye bandama ili zile cells ambazo zimekuwa affectet zuharibiwe (swali la kwanza limejibiwa la kwa nini damu nyingi kwenye bandama)

Kutokana na cells nyingi kuwa cleared husababisha namba ya haemoglobin kupungua na kupelekea mtoto kuwa na anaemia..
Hii huwatokea sana watoto..

Dawa
Kama level ya Hb sio ndogo sana mtoto anaweza pewa dawa za malaria za kawaida ..
Kama ni severe anaemia ushauri wa daktari ni muhimu zaidi.

Kamuone daktari

Nashukuru sana kwa jibu lako.

Uko sahihi kabisa mkuu

Sent from my Huawei mate 9
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mnyama zuckerman kanitesa sana enzi hizo...
Aliekiandika kile kitabu sijui alikuwa uchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilitesa pia. Ila siku hizi vijana wana raha sana, maana ma youtube na vitabu vingi sasa vinapatikana. Ila sehemu niliyoenjoy class ya anatomy ni gluteus maximus pamoja na upper limb.
 
[emoji23] [emoji23] kwanini hapo tu

Sent from my Huawei mate 9
 
Tatizo la mtindio wa ubongo (CEREBRAL PALSY)

....hiyo ni moja ya thread zako..na inasemekana yule Vengu wa Ze Comedy anasumbuliwa na tatizo hilo...ila ktk uzi wako umesema unawakumba watoto.

Fafanua.
 
Tatizo la utindio wa ubongo ni kwa watoto tu, kwa mtu mzima tunaita head/brain injury.

Sent from my Huawei mate 9
 
Why does a person get a depression just below to the xiphoid process?

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Hepatic vein drains blood from the liver, oclussion of the hepatic vein will prevent blood from flowing out of the liver back to the heart leading to enlarged liver and accumulation of fluids in the peritoneal cavity,splinomegally na mambo mengine mengi tu.....this will interfere with it's general functions.
So kama mgonjwa asipotibiwa mapema anaweza kupata liver failure, encephalopathy or death.

Sent from my Huawei mate 9
Splenomegally jmn
 
(A)Cranial nerve

Ooh -olfactory
Ooh -optic
Ooh -oculomotor
To - Trigeminal
touch- trochlear
And -Abducent
Feel -Facial
A - Auditory/Vestibulocochlear
Girls- Glossopharyngeal
Vest -Vagus
Aahgh- Accessory
Heaven -Hypoglossal
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]meza hapo hiyo mnemonic.

2..Ni trigeminal sababu ina three branches.
3 MIXED.
Cranial nerve functions mnemonic "Some says mary money but my brother said big breats matters most"

S=Sensory
B=Both motor and Sensory
M=Motor

4.ORIGIN.
Trigeminal nerve ndiyo Cranial nerve pekee ambayo inatoka kwenye pons,asilimia kubwa zinatokea kwenye ponto-medulally junction au na baadhi above pons.

5. TEST
Unaweza uka test sensations au jaw jerk reflex kumbuka its both motor and Sensory nerve.

Sent from my Huawei mate 9

Ww mbuzi uko vzr
 
Back
Top Bottom