Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

1.Chemikali ambazo zinatolewa na bacteria waliopo mwili ambao wamesababisha homa zinafanya hypothalamus (ambayo ni kama thermostat kwenye mwili ihisi kwamba mwili unasikia baridi) kumbe wakati huo mwili upo na joto la kawaida kabisa au limezidi,so kinachofanyika ni mwili kujaribu kutafuta njia za kuongeza joto mwilini kama kutetemeka,kukaa juani au kuota moto kitu ambacho kitaongeza joto zaidi.
In short ni kwamba mtu anasikia baridi ambayo haipo.

Sent from my Huawei mate 9
Yes Apo Sawa Alaf Mwili Ukiingiliwa Na Ant Gen Huwa Una Hisi Na Kuanza Ku Fight Kwa Kutumia White Blood Cell Hicho Kitendo Hufanya Kuongezeka Kwa Joto Mwilini
 
Mtaala. Kwanza pongez kwako. Uajua.

Swali: Ni nini kinasababibisha baadhi ya wanawake kua na ziwa moja kubwa lingine dogo.

Nijib tu kama unanisaidia mie sjui hyo kama ni anatomy au breastomy

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Naomba kitabu kizur cha anatomy
Ntumie mkuu
Kama unatumia Telegram fungua kuna bot inaitwa Medical book store utapata vitabu vyote
44ebd8409e0f318ed3a34d77a7e3fa7a.jpg
 
Back
Top Bottom