Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

mtu mwnyew unachagua maswal yakujib

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
kazi ya bandama ni nini?
kazi ya kongosho pia ni ipi?
colon ni tissue au muscle?
nini kinafanya moyo udunde mida mrefu bila kuacha?umeme au kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

A.Kazi ya bandama au spleens.
1.Blood filtration.
2.Storage ana control of amount of RBC.
3.To fight infection as a part of the immune system

B.Kazi ya kongisho ni kutengeneza inslulin,blood sugar regulation pamoja na kutoa enzymes na content ambazo zinasaidia katika digestive system.
C. Colon ni tube like structure ambayo imeundwa na muscles.
D.The pacemaker.
Sent from my Huawei mate 9
 
Back
Top Bottom