Freelancer mstaafu: Niuze swali lolote kuhusu Freelancing na Remote work

Freelancer mstaafu: Niuze swali lolote kuhusu Freelancing na Remote work

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,714
Reaction score
3,750
Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu,

1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400

2. Nimetumia platform zote za freelancing

3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000

4. Nimetengeneza chain ya clients wa kudumu

5. Nafahamiana na kila freelancer hapa Tz

6. Nimejifunza skills zaidi ya 20

7. Nimepata pesa nikapoteza pesa

8. Nimefanya kazi na clients wa dunia nzima

9. Nimekuwa top-rated

10. Usitegemee kuona mtu anakufata kukwambia fursa mkononi hata kama ni ndugu yako

11. Watu ni wabinafsi sana usipojiongeza wanaendelea kupiga pesa kimya kimya

12. Online kuna pesa nyingi sana

13. Ukilipwa kwa dola ni rahisi kutoboa kuliko anayelipwa kwa tsh

14. Wenzetu wamezoea kufanya kila kitu online

15. Freelancing sio skill ni business model

Unaweza kufanya freelancing ukiwa chuo, shule, kazini, nyumbani, jobless, full time

Uliza swali lolote kuhusu Freelancing nitakujibu hapo chini

Screenshot_20250507_091217_Upwork Talent.jpg
 
Ni kazi gani huwa mnafanya Hasa mnapo ongelewa free lancing.

Na ni skills gani muhim mkuu... Mana fursa ya vitendea kazi na internet ipo Ila tumekaa tu tu asubir physical oriented deals.
 
Ungetoa maelezo ya kutosha juu ya hiyo freelasing.
-Ni kitu gani.
-Inafanyaje kazi.
-Wateja ni wapi.
-Faida zake ni zipi.
-Hasara zake ni zipi.
-Risk zake ni zipi.

Ungetoa maelezo ya kutosha ili vijana maamuma kama mimi wasiojua hata "A" tujifunze pamoja.
 
Nilijiunga na Upwork, Fiverr na Freelancer.com, nika apply kazi nyingi sana ambazo ni nyepesi kwangu ila sijawahi kupata client hata mmoja. Ni mzoefu wa article writing, data entry, eng- sw translation e.t.c.
Jamaa anasema Online kuna pesa nyingi sana
 
Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu,

1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400

2. Nimetumia platform zote za freelancing

3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000

4. Nimetengeneza chain ya clients wa kudumu

5. Nafahamiana na kila freelancer hapa Tz

6. Nimejifunza skills zaidi ya 20

7. Nimepata pesa nikapoteza pesa

8. Nimefanya kazi na clients wa dunia nzima

9. Nimekuwa top-rated

10. Usitegemee kuona mtu anakufata kukwambia fursa mkononi hata kama ni ndugu yako

11. Watu ni wabinafsi sana usipojiongeza wanaendelea kupiga pesa kimya kimya

12. Online kuna pesa nyingi sana

13. Ukilipwa kwa dola ni rahisi kutoboa kuliko anayelipwa kwa tsh

14. Wenzetu wamezoea kufanya kila kitu online

15. Freelancing sio skill ni business model

Unaweza kufanya freelancing ukiwa chuo, shule, kazini, nyumbani, jobless, full time

Uliza swali lolote kuhusu Freelancing nitakujibu hapo chini

View attachment 3326637
Freelancer wa kuigiza kusajili line akitapeli anakamatwaje?
 
Labda anaziona yeye kanyamazishwa ila kwa upande wangu hakuna freelancing platform ambayo sijajisajili na kutafuta tasks ila sijawahi kupata client hata mmoja.
Masai hebu jibu haya maswali kwa faida ya wengine.
👇👇
Ungetoa maelezo ya kutosha juu ya hiyo freelasing.
-Ni kitu gani.
-Inafanyaje kazi.
-Wateja ni wapi.
-Faida zake ni zipi.
-Hasara zake ni zipi.
-Risk zake ni zipi.

Ungetoa maelezo ya kutosha ili vijana maamuma kama mimi wasiojua hata "A" tujifunze pamoja.
 
Masai hebu jibu haya maswali kwa faida ya wengine.
👇👇
Ungetoa maelezo ya kutosha juu ya hiyo freelasing.
-Ni kitu gani.
-Inafanyaje kazi.
-Wateja ni wapi.
-Faida zake ni zipi.
-Hasara zake ni zipi.
-Risk zake ni zipi.

Ungetoa maelezo ya kutosha ili vijana maamuma kama mimi wasiojua hata "A" tujifunze pamoja.

Japo mleta mada ndiye alipaswa kujibu haya maswali lakini naomba unisome kwa makini👇🏿👇🏿

FREELANCING ni kazi yeyote unayolipwa kwa commission(kulipwa BAADA YA kumaliza kazi uliyoomba). Kwa mfano, Wakala wa kusajili line za voda ni freelancer.

Kwahiyo tukisema online freelancing ni ile kazi inayofanywa kupitia internet na malipo ni baada ya kuikamilisha na mteja kuridhika.

Wateja ni wale wenye uhitaji wa kufanyiwa hiyo kazi. Mfano mtu yupo Ulaya, anaanda documentary inayohusu maasai culture lakini wakati huo hawezi Kufika field na kupata real-time data hivyo atatangaza kazi hiyo kwa mtu yeyote aliyepo East Africa (panapopatikana wamasai) wenye uwezo wa kukusanya hizo real-time data(questionnaire, picture au videos stories na kumtumia.

Faida zake ni kupata kipato na hasara yake ni kwamba unaweza kupoteza bundle la internet(hela) na muda wakati wa kuziomba hizo kazi/task akapewa mwingine.

Kuna aina nyingi za freelancing lakini ambayo ni common kwa vijana wa East Africa ni Article Writing(Uandishi wa Makala).

Nitatoa mfano wa platform ya ScooperNews inayomilikiwa na kampuni ya CalCare(hii ni kampuni inayotoa maintenance services za simu za Tecno, Infinix na Itel).

Ukipost makala kwenye platform hiyo unalipwa in terms of US Dollars kwa kupitia kanuni hii:

Total clics per month ÷ total reading time per month.

CLICKS
ni idadi ya watu waliofungua article yako.

READER ni mtu aliyefungua article yako na kupoteza angalau sekunde 10 ikiwa imefunguliwahata kama hajaisoma.

Mfano kwa article moja kwa mwezi:

idadi ya clicks: 200,000
Idadi ya readers: 50,000
Ukigwanya hapo utapata $4 equivalent to 10,000 TZS.

Hiyo ni article moja kwa mwezi. Kwahiyo kwa mfano huu Ukiwa na article 30 zenye wastani wa clics na reading time hapo juu, utakuwa na $120 ambayo ni equivalent to 300,000 pesa ya madafu😃

Shida ni kwamba siku hizi mama tozo amewafikia hadi freelancers. Yaani ni tozo kila mahali, kuanzia unaponunua smartphone/laptop ya kazi, voucher, hadi commission(malipo yako kama freelancer).

Nchi zingine kama Nigeria, Ghana na South Africa, freelancers hawalipi kodi wala tozo kwa sababu hiyo siyo kazi Bali ni kibarua kama cha saidia fundi. Ukija kwetu hata ukicheza kamari (BETTING) unadaiwa kodi
 
Japo mleta mada ndiye alipaswa kujibu haya maswali lakini naomba unisome kwa makini👇🏿👇🏿

FREELANCING ni kazi yeyote unayolipwa kwa commission(kulipwa BAADA YA kumaliza kazi uliyoomba). Kwa mfano, Wakala wa kusajili line za voda ni freelancer.

Kwahiyo tukisema online freelancing ni ile kazi inayofanywa kupitia internet na malipo ni baada ya kuikamilisha na mteja kuridhika.

Wateja ni wale wenye uhitaji wa kufanyiwa hiyo kazi. Mfano mtu yupo Ulaya, anaanda documentary inayohusu maasai culture lakini wakati huo hawezi Kufika field na kupata real-time data hivyo atatangaza kazi hiyo kwa mtu yeyote aliyepo East Africa(panapopatikana wamasai) wenye uwezo wa kukusanya hizo real-time data(questionnaire, picture au videos stories na kumtumia.

Faida zake ni kupata kipato na hasara yake ni kwamba unaweza kupoteza bundle la internet(hela) na muda wakati wa kuziomba hizo kazi/task akapewa mwingine.

Kuna aina nyingine za freelancing lakini ambayo ni common kwa vijana wa East Africa ni Article Writing(Uandishi wa Makala).

Nitatoa mfano wa platform ya ScooperNews inayomilikiwa na kampuni ya CalCare(hii ni kampuni inayotoa maintenance services za simu za Tecno, Infinix na Itel).

Ukipost makala kwenye platform hiyo unalipwa kwa kupitia kanuni hii:

Total clics per month ÷ total reading time per month.

CLICKS
ni idadi ya watu waliofungua article yako.

READER ni mtu aliyefungua article yako na kupoteza angalau sekunde 10 ikiwa imefunguliwahata kama hajaisoma.

Mfano kwa article moja kwa mwezi:

idadi ya clicks: 200,000
Idadi ya readers: 500,000
Ukigwanya hapo utapata $4 equivalent to 10,000 TZS.

Hiyo ni article moja kwa mwezi. Kwahiyo kwa mfano huu Ukiwa na article 30 zenye wastani wa clics na reading time hapo juu, utakuwa na $120 ambayo ni equivalent to 300,000 pesa ya madafu😃

Shida ni kwamba siku hizi mama tozo amewafikia hadi freelancers. Yaani ni tozo kila mahali, kuanzia unaponunua smartphone/laptop ya kazi, voucher, hadi commission(malipo yako kama freelancer).

Nchi zingine kama za Nigeria, Ghana na South Africa, freelancers hawalipi kodi wala tozo kwa sababu hiyo siyo kazi Bali ni kibarua kama cha saidia fundi. Ukija kwetu hata ukicheza kamari (BETTING) unadaiwa kodi
Uandishi rahisi na wa kueleweka vyema kabisa.
Asante kwa muda wako, nina imani wote waliokuwa wanajiuliza kuhusu hii kazi wamepata mwanga.
 
Back
Top Bottom