Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

6.There are four major blood groups determined by the presence or absence of two antigens – A and B – on the surface of red blood cells:

Group A – has only the A antigen on red cells (and B antibody in the plasma)Group B – has only the B antigen on red cells (and A antibody in the plasma)Group AB – has both A and B antigens on red cells (but neither A nor B antibody in the plasma)Group O – has neither A nor B antigens on red cells (but both A and B antibody are in the plasma)

Sent from my Huawei mate 9
Ungejibu kwa lugha mama ya kiswahili ingekuwa poa sana; kilichonikimbiza huko ni hayo misamiati yenu!
 
3.Kwasababu tayari vinakuwa kama sehemu ya cell za mwilii hivyo huwezi kuuwa virus bila kuharibu cells

Sent from my Huawei mate 9
Hio si sababu kwa nini virus wa HIV hawezi kufa,kwa maana hata matibabu ya saratani(CA) hasa mionzi(radiotherapy) huuwa chembe hai(cells),ila ndo tiba yake hivyohivyo
Sasa kwa swali letu kwanini HIV virus hawafi???
Badala yake wanafubazwa na ARV??

NB: This is a molecular biology based science
 
Back
Top Bottom