Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa.
Karibuni

Sent from my Huawei mate 9
1. What's the clinical significance of inguinal canal, and what are its anatomical landmarks?

2. Nipe brief anatomy ya Cow

3. Na je can anatomy influence physiology of an individual, if yes how?
 
4.Kwanini banadamu akijisaidia lazima akojoe
Defecation and urination both involves the activity of the autonomic nerves system called parasympathetic and sympathetic nerve systems,hizo system zinasababisha relaxation of the sphincters muscle na contractions of the dextrussor muscles of the bladder wall hivyo husababisha mkojo kutoka.
Lakini pia ile strain ambayo inafanyika kusukuma wakati wa kujisaidia (kitaalamu valsava maneuver) inasababisha compression ya abdominal organs ambazo ni pamoja na kibofu hivyo itasababisha mkojo utoke.

Sent from my Huawei mate 9
 
1. What's the clinical significance of inguinal canal, and what are its anatomical landmarks?

2. Nipe brief anatomy ya Cow

3. Na je can anatomy influence physiology of an individual, if yes how?
Cow tena mkuu.
Nitakujibu hayo mengine.

Sent from my Huawei mate 9
 
kazi ya bandama ni nini?
kazi ya kongosho pia ni ipi?
colon ni tissue au muscle?
nini kinafanya moyo udunde mida mrefu bila kuacha?umeme au kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa kiswahil anatomy ni nn

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Hepatic vein drains blood from the liver, oclussion of the hepatic vein will prevent blood from flowing out of the liver back to the heart leading to enlarged liver and accumulation of fluids in the peritoneal cavity,splinomegally na mambo mengine mengi tu.....this will interfere with it's general functions.
So kama mgonjwa asipotibiwa mapema anaweza kupata liver failure, encephalopathy or death.

Vyema. Hakuna anastomoses yani alternative drainage ya hepatic vein kudrain blood to the IVC?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyema. Hakuna anastomoses yani alternative drainage ya hepatic vein kudrain blood to the IVC?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anastomoses zipo nyingi tu
Lakini in this case pia zinaweza kuwa ocluded so badala ya kusaidia ku drain zinaweza kusababisha varices na vitu vingine kama hemorrhoids.
Sent from my Huawei mate 9
 
1)Kwa nini binadamu akiumwa homa anajiskia baridi ila ukimgusa mwilini ni wa moto inasababishwa na nini..??

2)Kwa nini virusi vya ukimwi vikingia kwnye mwili wa binadamu vinaenda moja kwa moja kukaa kwnye DNA.??

3) Kwa nini inakuwa vigumu kuviuwa virusi vya ukimwi vikiwa kwnye DNA.??

4)Kwa nini Binadamu akienda chooni kujisaidia haja kubwa lazima haja ndogo itoke kwa nini.??

5)Kwa nini binadamu akila chakula lazima abeuwe kubeuwa inasababishwa na nini..??

6)Kwa nini magroup ya damu yametofautiana...??

NB:nimekuliza maswali marahisi sana nataka nijue je ww kweli ni mtu wa medicine afu ndo tuje sasa kwnye maswali ya kibabe ya medicine..
ndiyo nafungua uzi, nahisi dogo ataweka mpira kwapani
 
Back
Top Bottom