Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Naona mambo ya elimu ya anatomy yanaendelea ,,,,,safi sana mkuu hii inanirefresh my brain
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa.
Karibuni
NB. Anatomy ya binadamu sio kiumbe mwengine.
Naona watu wanachanganya kati ya Anatomy and Physiology tafadhali ulizeni maswali ya ANATOMY.
Sent from my Huawei mate 9
226e865072693eb28f2166acfcd617a0.gif

4b904476fc31add075f079fa9234fe6b.jpg
28c3eb4aa7a4d1398670eb5220e39221.jpg
64253805458276a6f1a89a6e74d310a6.jpg


Ni kweli mkuu haya maswali mengi ni ya physiology instead of Anatomy
 
1:clinical importance of anatomical snuff box.
2:what is testes transplantation.
3:which kidney is the best for transplantation with reason.

Sent using Jamii Forums mobile app

2.Testis transplant nadhani ni kama aina nyingine zote za transplantation kama ilivyo kwa kidney,et al,wanachukua functioning tests za mtu mengine then wanaweka kwa another individual ambaye ana shida.
3.Jibu hapo ni left kidney sababu vein yake ni ndefu kuliko ya right RV.
 
Nakubali basics za Anatomy anakuwa amesoma mtu wa Diploma ,ila Degree ni mambo yale yale ila more advanced
Asante kwa kunielewesha mkuu nakuja uko kupitia dip niombeeni nifikie had kweny hizo advanced
 
Testis transplant nadhani ni kama aina nyingine zote za transplantation kama ilivyo kwa kidney,et al,wanachukua functioning tests za mtu mengine then wanaweka kwa another individual ambaye ana shida.
Mh....mkuu

M.K
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa.
Karibuni
NB. Anatomy ya binadamu sio kiumbe mwengine.
Naona watu wanachanganya kati ya Anatomy and Physiology tafadhali ulizeni maswali ya ANATOMY.
Sent from my Huawei mate 9
226e865072693eb28f2166acfcd617a0.gif

4b904476fc31add075f079fa9234fe6b.jpg
28c3eb4aa7a4d1398670eb5220e39221.jpg
64253805458276a6f1a89a6e74d310a6.jpg
State function of foramen rotundum
 
State function of foramen rotundum

Which muscles are known as rotator culf muscles

Mwaswali ya aina hii ndiyo nilikuwa nayataka watu waulize.
Yani katika watu waliofanikiwa kuuliza maswali ya pure ANATOMY ni wewe mkuu asante sana.

1.Foramen rotundam ipo kwenye base of the skull na ni passage ya maxillary part ya trigeminal nerve.

2.They are collectively know as SITS.
-Supraspinatus muscle
-Infraspinatus
-Teres minor muscle
-Subscapularis
The main function of the rotator cuff muscles apart from movements is stabilizing the glenohumeral joint and prevent dislocation.


Sent from my Huawei mate 9
 
Back
Top Bottom