Physiology hii sasa....ila physiology na anatomy ziko interelated.Inasemekana mwanaume anayefika orgasm huwa sawa na Mtu aliyetembea 2 to 3 kms, nambie kitaalam kama njia hiyo inaweza kuwa mbadala wa mazoezi hasa kwa watu wenye uzito mkubwa.1
Asante nashukuru Mkuu,ila nafikiri nitakutafuta uko poa sana.
Haha.....first yr[emoji12]Asante nashukuru Mkuu,ila nafikiri nitakutafuta uko poa sana.
Maswali yako yote yamesimama.
Sent from my Huawei mate 9
2. Kila kirusi ni lazima kiingie kweny DNA ili kiweze kuleta madhara1)Kwa nini binadamu akiumwa homa anajiskia baridi ila ukimgusa mwilini ni wa moto inasababishwa na nini..??
2)Kwa nini virusi vya ukimwi vikingia kwnye mwili wa binadamu vinaenda moja kwa moja kukaa kwnye DNA.??
3) Kwa nini inakuwa vigumu kuviuwa virusi vya ukimwi vikiwa kwnye DNA.??
4)Kwa nini Binadamu akienda chooni kujisaidia haja kubwa lazima haja ndogo itoke kwa nini.??
5)Kwa nini binadamu akila chakula lazima abeuwe kubeuwa inasababishwa na nini..??
6)Kwa nini magroup ya damu yametofautiana...??
NB:nimekuliza maswali marahisi sana nataka nijue je ww kweli ni mtu wa medicine afu ndo tuje sasa kwnye maswali ya kibabe ya medicine..
Umevuruta mkuu!1.Chemikali ambazo zinatolewa na bacteria waliopo mwili ambao wamesababisha homa zinafanya hypothalamus (ambayo ni kama thermostat kwenye mwili ihisi kwamba mwili unasikia baridi) kumbe wakati huo mwili upo na joto la kawaida kabisa au limezidi,so kinachofanyika ni mwili kujaribu kutafuta njia za kuongeza joto mwilini kama kutetemeka,kukaa juani au kuota moto kitu ambacho kitaongeza joto zaidi.
In short ni kwamba mtu anasikia baridi ambayo haipo.
Sent from my Huawei mate 9
[emoji23] [emoji23]
Tusaidie basi Mkuu
Hili ndilo tatizo la wasomi wetu... Hiv kama mm sina kabisa uelewa wa koz hii je huwezi nijibu kwa lugha nyepesi ili nielewe? Naona unachukua kama ulivyosoma kwenye notes!Jibu rahisi ni kwamba inaweza kuwa congenital anaomaly or failure of testicular decent during embryogenesis.
Sent from my Huawei mate 9
Nimekuelewa MkuuHili ndilo tatizo la wasomi wetu... Hiv kama mm sina kabisa uelewa wa koz hii je huwezi nijibu kwa lugha nyepesi ili nielewe? Naona unachukua kama ulivyo
Hili ndilo tatizo la wasomi wetu... Hiv kama mm sina kabisa uelewa wa koz hii je huwezi nijibu kwa lugha nyepesi ili nielewe? Naona unachukua kama ulivyosoma kwenye notes!
Please mkuu jaribu kutumia lugha nyepes na ss tufaham
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali, "KWANN ANASIKIA BARID WAKATI ANA JOTO JINGI?" Na sio kinachosababisha joto jingi wakati wa kuumwa!Tusaidie basi Mkuu
1.Anatomical snuff box.1:clinical importance of anatomical snuff box.
2:what is testes transplantation.
3:which kidney is the best for transplantation with reason.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nimekujibu vizuri tu mkuu.Hujajibu swali, "KWANN ANASIKIA BARID WAKATI ANA JOTO JINGI?" Na sio kinachosababisha joto jingi wakati wa kuumwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
bacteria wa malaria mhhhhhhhh mkuu sahihisha hapoKwa kuongezea bacteria wa malaria wana shambuli maji mwilini lazima yapungue. Kadri mashambulizi yanavyo kuwa makubwa.mwili lazima uta heat.nisawa na rejeta yaw gari maji yakipungua gari lazima ichemshe
Sent using Jamii Forums mobile app