Niulize chochote nikujibu

Niulize chochote nikujibu

Naomba kujua kama kuna dawa ya Kibamia
Zipo dawa za kudhoofisha uume lakini dawa hizo zinapigwa marufuku dawa hizi hushusha homone za kiume(testosterone) pia Ina alter reaction za mwili na kupunguza (this is done genetically)
 
Aliechora ramani ya dunia alikaa kwenye angle gani?
Wachoraji wa ramani za zamani walizingatia bahari, mito, milima, na resources zingine za asili kama marejeo yao. Walitumia safari za baharini(kwa kutumia mashua), nyota, na taarifa kutoka kwa wasafiri ili kuchora ramani.
 
Kwanini magufuri aliamini uongozi ni kuropoka hovyo na vitisho kwa subordinate wake....au alikuwa na matatizo ya Afya ya akili?....kwa sababu leo hii tunaona rais ni mwanamke na anaongea kwa upole mambo yanaenda...
According to the qualities of a good leader jamaa alikuwa haropoki kiongozi wa kweli hujiamini, husema Yale maovu yanayofanyika.
Pia, kuficha uovu, kujifanya mpole ni dalili za kutafuta uchawa na kuonyesha ishara kuwa everything is fine inside the country.
 
Maswali mliyomuuliza wanatumia chatgpt au deepseeker anawapa majibu
Kwa kigezo gani lack of clear mindset on our technologies still creates stupid people Kuna AI detectors unaweza kudetect utumiaji wa AI nilishazungumzia kwenye Uzi fulani AI itatengeneza wajinga kutokana na kwamba kila wanachokiona watadhani ni AI pasipo kutambua AI Zina makosa na zinatoa data kwetu.
 
Back
Top Bottom