Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,286
- 4,500
- Thread starter
- #121
Zaidi ya nusu litaPumbu zako zinatoa shahawa kiasi gani kwa round 1 wakati wa kuzagamuana?
Zaidi ya nusu litaPumbu zako zinatoa shahawa kiasi gani kwa round 1 wakati wa kuzagamuana?
Kwa nini siku ile pale sinza mori ulikuwa unalia kama umedata?Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
Upendo ni hisia ya dhati ya kuheshimu, kuthamini, na kujali mtu au kitu bila kulazimika kuwa na uhusiano wa kimapenzi.Nini tofauti ya upendo na mapenzi
Nitakujibu kutokana na Imani yangu;Mungu alitoa wapi maada/Material ya kuumba huu ulimwengu?
Pia naomba kujua alipata wapi akili alizonazo wakati hakukuwa na shule
Sijawahi kulia na hakuna uthibitisho wowote ulioonyesha nililia nikiwa SinzaKwa nini siku ile pale sinza mori ulikuwa unalia kama umedata?
Vipi kuhusu mapenzi ya mama kwa mtoto wakeMapenzi ni sehem ya upendo inayohusisha hisia za kimahaba na mvuto wa kimwili kati ya watu wawili.mfano wewe na mpe
Acha nikae kimya 😆Nitakujibu kutokana na Imani yangu;
Katika imani nyingi hususan za kikiristo, kiislamu, na kiyahudi, Mungu anaelezewa kama mwenyezi, mwenye uweza wote na mjuzi wa yote. Kwa mujibu wa biblia(Mwanzo 1:1) "Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi." Hii ina maana kuwa Mungu hakuhitaji material aliumba ulimwengu kwa neno lake tu (Mwanzo 1:3). Pia katika uslamu, Qur'an inasema:
"Hakika amri yake anapotaka jambo ni kulisema tu: 'Kuwa!' Likawa." (Qur'an 36:82)
HeheheKwa nini siku ile pale sinza mori ulikuwa unalia kama umedata?
Mapenzi ni makubaliano kama haupo tayari kuwa mama wa kambo kwa watoto wa awali wa unayempenda ni vyema mkakaa na kukubaliana kama wapendanaoJe, kama hayupo tayari kuwa mama wa kambo lakini ana upendo na huyo mwanaume?
Kun faya kun maana yake niniHakika amri yake anapotaka jambo ni kulisema tu: 'Kuwa!' Likawa." (Qur'an 36
KitombanyokoNini hiki? 😂😂😂
1. Mkuu ikiwa ningekuwa rais kwa dakika 5 ningetangaza msamaha wa madeni kwa vijana wanaojitahidi kujiajiri lakin wamekwama kwa sababu ya mikopo midogo. Pia, ningetangaza sera ya dharura ya kupunguza gharama za elimu na huduma za afya kwa watu wa kipato cha chini.1.Ungepewa nafasi ya kuwa president walau kwa dakk 5, ni nini ungekibadilisha unaona hakipo sawa ?
2,,ufe masikini ama upate pesa za madawa uwe tajri wa kuishi kwa masharti ?
Japo hili swali linahatari nikijibu lakini acha nijibu kutokana na factors fulani(wingi wa wafuasi, nguvu na mengineyo) Chama Cha Mapinduzi(CCM) kitashinda uchaguzi wa 2025 bila shida yeyote.Uchaguzi wa mwaka huu chama gani kitashinda?
Kwa nini hujibu maswali ya mathematicsJapo hili swali linahatari nikijibu lakini acha nijibu kutokana na factors fulani(wingi wa wafuasi, nguvu na mengineyo) Chama Cha Mapinduzi(CCM) kitashinda uchaguzi wa 2025 bila shida yeyote.
Kwa mujibu wa bibilia dhambi ilianza mbinguni wakati shetan alipoasi dhidi ya Mungu (Nukuu Isaya 14:12-15, Ezekieli 28:12-17). Pia mkuu duniani dhambi ilianza pale Adamu na Hawa walipomwasi Mungu kwa kula tunda lililokatazwa katika Bustani ya Edeni (Mwanzo 3).Dhambi ilitoka wapi?
Hapana Sio Sana..Ahsante kwa ufafunizi mkuu inaonyesha sayansi ya fizikia kwako ipo yakutosha!.
Kwahiyo Mungu aliiumba dhambi?Kwa mujibu wa bibilia dhambi ilianza mbinguni wakati shetan alipoasi dhidi ya Mungu (Nukuu Isaya 14:12-15, Ezekieli 28:12-17). Pia mkuu duniani dhambi ilianza pale Adamu na Hawa walipomwasi Mungu kwa kula tunda lililokatazwa katika Bustani ya Edeni (Mwanzo 3).
Naweza kusema ni impossible kumtambua lakini mara nyingi angalia contribution yake mara nyingi wadada hujulikana humu JFNawezaje kuutambua mwandiko wa mkaka anayetumia id ya mdada hapa jf?
Ni kweli hii inathibitishwa na historia mbalimbali na pia hata manabii walikuja baada yakeNi kweli Yesu alifufuka?