Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,283
- 4,481
- Thread starter
- #221
Ushahidi gani broKwa msaada wa chart GPT
Ushahidi gani broKwa msaada wa chart GPT
😂😂😂😂😃😃😀Wee si hodar wa kuuliza maswali
acha bangiUSIKU ni MCHANA ulioungua
Nyapu.Cleopatra alikuwa anampa nini
Ampe mtoto sumu.Je, kama hayupo tayari kuwa mama wa kambo lakini ana upendo na huyo mwanaume?
Prove it.Ila Giza Ndo limeanza Kuwepo Kabla ya Mwanga
Kutumia Theory Ipi Nianze hapo Kwanza..Prove it.
Aah usiniambie...Nyapu.
-Tokea Big Bang mpaka leo ni miaka mingapi na tukea Mungu(according to the believers) aumbe dunia ni miaka mingapi? Chanzo kipi ni cha uongo zaidi na sababu za jibu lako ni zipi.Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
Both japo ya 'kidini' ni mambo ya kubuni.Kutumia Theory Ipi Nianze hapo Kwanza..
YA Uumbaji au Ya Kisayansi?
Maana zote zinaprove
It is what it is.Aah usiniambie...
Kisayansi Before Big bang kulikuwa na singularity ambayo ni state where all the matter and energy of the universe were concentrated into an extremely small point, with infinite density and temperature, before the universe began expanding.Both japo ya 'kidini' ni mambo ya kubuni.
Hey bro UpoHey vipi... Dm