Before, wakati wa Adam na hawa kulikuwa hakuna dhambi lakini baada ya shetani kumdanganya Hawa na kuvunja agizo la mwenyezi Mungu hapo ndio dhambi ilipo
Kwahiyo alieafanya dhambi iwepo ni Adamu na Hawa, au ni shetani?Before, wakati wa Adam na hawa kulikuwa hakuna dhambi lakini baada ya shetani kumdanganya Hawa na kuvunja agizo la mwenyezi Mungu hapo ndio dhambi ilipo anza
How about hermophrodites?Hakuna baba bila mama.
Uskute alkuwa kalewa🤣🤣Mwamba kaanzisha mada imemshinda kashasepa mda sana
Mkuu mmekazana mnemba! Mnemba! angalien msije tmaka kinemb* mi huwa napata igumu ni hilo neno mnembaAti akili mnemba😂
HeheheheheheheheheheheheheheheheMwamba kaanzisha mada imemshinda kashasepa mda sana
HeheheheheheheheheheheheheheheheUskute alkuwa kalewa🤣🤣
Unapata faida Gani na majibu unatoa wapi au wewe ni all in one jack of all trade master of noneKaribu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
Hapo unajiona bonge la jeniazi 😀😀🏃♂️Kwanini kwenye kutafsiri maana ya giza lazima ndani yake watu hugusia mwanga..?
giza kama giza kwanini isiwe na tafsiri yake bila kugusia mwanga..?
is the darkness has frequency..?
if yes why..? and if no why..?
Samahani mkuu kwani giza si mwanga mweusi au?Mleta mada nashukuru kwa uzi wako huu walao tunapata kujua mawili matatu.
Swali langu mambo ya kisayansi kidogo.
Inaelezeka kuwepo giza ndio mama wa ulimwengu, kwamba vyote vimekuja hapa ulimwenguni vika mkuta giza.
Jua lilikuja likamkuta giza , kwa maana hio jua na mwanga kwa giza haviwezi kukaa kiti kimoja .
Tumeona nguvu ya jua na mwanga na mwanadamu ameweza kutumia nishati itokayo kwenye jua kurahisisha maisha yake.
Je ni kwa nini mwanadamu anashindwa kupata nishati kwenye giza au nguvu kwenye giza maana inasemekana dark energy itakavyo weza kuchakatwa na kutumiwa na mwanadamu hata kifo kitafikia kikomo maana dark matter itafunika matter zote, sio nyukilia, Magret, eletroniki solar nk .
Lini sasa mwanadamu atafanikiwa hilo?
Kama mtoto anaishi nae yeye ni sawa?Kila mafanikio yako watoto wa mke mwenzako wanahemea , nguvu yako unawatunza na huku mama yao yupo hi anatengeneza maisha yake.
Zamani mtu mwenye mtoto anapeleka kwabibi either apeleke watoto kwabibi mzae wenu au uwe girlfriend wake hadi uolewe na asio nao
Hapana, giza halijaundwa ila mwanga uneundwa.Samahani mkuu kwani giza si mwanga mweusi au?
😃😃😀Wee si hodar wa kuuliza maswaliNini hiki? 😂😂😂
duh hilo swali hata Einstein mwenyewe hawezi kulijibu,😀😀😀Mleta mada nashukuru kwa uzi wako huu walao tunapata kujua mawili matatu.
Swali langu mambo ya kisayansi kidogo.
Inaelezeka kuwepo giza ndio mama wa ulimwengu, kwamba vyote vimekuja hapa ulimwenguni vika mkuta giza.
Jua lilikuja likamkuta giza , kwa maana hio jua na mwanga kwa giza haviwezi kukaa kiti kimoja .
Tumeona nguvu ya jua na mwanga na mwanadamu ameweza kutumia nishati itokayo kwenye jua kurahisisha maisha yake.
Je ni kwa nini mwanadamu anashindwa kupata nishati kwenye giza au nguvu kwenye giza maana inasemekana dark energy itakavyo weza kuchakatwa na kutumiwa na mwanadamu hata kifo kitafikia kikomo maana dark matter itafunika matter zote, sio nyukilia, Magret, eletroniki solar nk .
Lini sasa mwanadamu atafanikiwa hilo?
Mbona mi naona kama mwanga ndo Noumer kuliko giza kwa sababu ukipeleka mwanga kwenye giza,giza litakimbia lakini giza likienda kwenye mwanga litafanywa vibaya mnoHapana, giza halijaundwa ila mwanga uneundwa.
Giza ndio limetawala ulimwengu mwanga haukuweza kulifukuza giza , na kuna sehemu katika ulimwengu mwanga umeshindwa kufanya kazi mbele ya giza, yaani mwanga uligeuzwa kuwa giza.
Katika conspiracy theory ambayo huwa sikubalini nayo kabisa huwa ni hiyoSuala la elite members kuwa ni reptilians lina ukweli gani ???
kama ni Maswali ya kizwazwa jibu uone kama hujikanyagi...Hapo unajiona bonge la jeniazi 😀😀🏃♂️
Mama eh ni sawa apewe matumizi na babaKama mtoto anaishi nae yeye ni sawa?