JUNIOR GONG
Member
- Jun 29, 2014
- 61
- 29
Ulifikiria nini kuanzisha uzi huu?
Kwann hukubalian nayoKatika conspiracy theory ambayo huwa sikubalini nayo kabisa huwa ni hiyo
Ile idea ya kwamba kuna shape shifting reptilian wanatuongoza sisi, nakubali huenda aliens wapo, na ni kweli kuna kundi la watu ambao ndio wanaongoza dunia ila sidhani kama ni hao reptiliansKwann hukubalian nayo
naamini kwenye hilo kundi la hao watu wanaotuongoza wapo pia reptiliansIle idea ya kwamba kuna shape shifting reptilian wanatuongoza sisi, nakubali huenda aliens wapo, na ni kweli kuna kundi la watu ambao ndio wanaongoza dunia ila sidhani kama ni hao reptilians
Alikuwa ni mropokaji bhanaAccording to the qualities of a good leader jamaa alikuwa haropoki kiongozi wa kweli hujiamini, husema Yale maovu yanayofanyika.
Pia, kuficha uovu, kujifanya mpole ni dalili za kutafuta uchawa na kuonyesha ishara kuwa everything is fine inside the country.
Hivi zile 5 circles zenye rangi tofauti katika olympic zina maana ganiIle idea ya kwamba kuna shape shifting reptilian wanatuongoza sisi, nakubali huenda aliens wapo, na ni kweli kuna kundi la watu ambao ndio wanaongoza dunia ila sidhani kama ni hao reptilians
unajua sajawahi fikiria hilo ila umenishtua lazima kuna maana hata zile rangi kwa nini waweke za rangi ile maana wazungu huwa hawafanyi kitu kwa coincidenceHivi zile 5 circles zenye rangi tofauti katika olympic zina maana gani
Wanasema eti ni unite ya mabara ila lazima kutakuwa na hidden meaningHivi zile 5 circles zenye rangi tofauti katika olympic zina maana gani
Kwan elite ni muunganiko wa nchi ngapi?unajua sajawahi fikiria hilo ila umenishtua lazima kuna maana hata zile rangi kwa nini waweke za rangi ile maana wazungu huwa hawafanyi kitu kwa coincidence
Mabara yapo 7 circles zipo 5 bado haiingii akilinWanasema eti ni unite ya mabara ila lazima kutakuwa na hidden meaning
Australia wanaiweka Asia kama kwenye mpira Australia huwa wanacheza kombe la Asia hivyo yanabaki mabara matano ukitoa AntarcticaMabara yapo 7 circles zipo 5 bado haiingii akilin
Itakuwa labda kila bara wana muwakilishi ila me huwa nahisi waIsrael ndio wana nguvu kubwa kwenye hilo kundi la eliteKwan elite ni muunganiko wa nchi ngapi?
Nahisi kama hizo circles zinawakilisha muunganiko wa hizo nchi
Na ndio wafadhili wakubwa wa hiyo michezo
Hivi morogoro kuna airport?Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
Alikua muislamKwa nini Julius Caesar alikataa kuwa mfalme wa Roma, licha ya kuwa na nguvu kubwa kisiasa?
Chai!Alikua muislam
Haujafika tajiriUmeme wa REA haujafika kijijini kwenu
Kwa msaada wa chart GPTNitakujibu according to physics ingawa Mimi si mtaalam mkuu:
Kwanza kabisa nitahakikisha voltage na frequency zinalingana Incase voltage hazilingani utofauti unaweza kupelekea madhara kwa baadhi ya vifaa, protect mfumo wako kwa kutumia circuit breaker na fuse pia mfumo wa earth ni muhimu kuweka, pia hakikisha unatumia baadhi ya mifumo kuzuia overheating.
USIKU ni MCHANA uliounguaKwanini kwenye kutafsiri maana ya giza lazima ndani yake watu hugusia mwanga..?
giza kama giza kwanini isiwe na tafsiri yake bila kugusia mwanga..?
is the darkness has frequency..?
if yes why..? and if no why..?