Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,845
Mfungo unaelekea ukingoni, bado siku nne mambo yetu yarudi paanze kuchangamka sasa.
Jibu hilo swali la kwenye kichwa cha uzi au jichagulie jingine hapo chini tupige story!
Jibu hilo swali la kwenye kichwa cha uzi au jichagulie jingine hapo chini tupige story!
- Hakuna utamu kama ……………........... (malizia)
- Kitu gani kuhusu wewe watu wakiona hawawezi kukudhania?
- Ukweli gani ukiusema unaweza hata kupigwa mawe ila utausimamia?
- Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu uliyemzidi umri kuanzia miaka 10 na kuendelea? ilikuwaje? tupe kauzoefu kidogo.
- Wale mliosumbua wazazi wenu, watoto wenu tayari wanawahangaisha au mmezaa malaika? Weka matukio ya watoto wetu hapa ili ambao bado hawajazaa wajiandae kisaikolojia.
- Kama kawaida: niulize swali lolote nitakujibu!
