Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Nimewamiss wanajukwaa.
Njooni tubadilishane mawili matatu, jichagulie swali hapo chini tupige story!
Njooni tubadilishane mawili matatu, jichagulie swali hapo chini tupige story!
- Je wajua kwamba wanawake wana kiungo kimoja mwilini ambacho kazi yake ni kusikia raha tu na hakina kazi nyingine yoyote? Kama unakijua kitaje na utuambie wewe huwa unakishughulikiaje?
- Nifundishe kitu ambacho unahisi nitakua sikifahamu.
- Ukitaka mwenzako aje kwako au awahi kurudi nyumbani kwa sababu unataka akupe mambo, huwa unamuambiaje?
Mie nina 2 ambazo hazijawahi kufeli; Baba ……. urudi mapema leo nina hamu na wewe & mpenzi leo nimepika ……… ila uje kwanza kunila mpishi, niko kitandani nakusubiri.
- Kitu gani ulishawahi kukishuhudia kwa macho na hutakisahau kamwe?
- Ushawahi kukutana na maumbile ya binadamu yakakushangaza? ilikuwaje?
- Kama kawaida: niulize swali lolote nitakujibu!