Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 6,991
- 7,245
Nielezee kuhusu mzunguko wa jua
Mbona umeshsema kwenye comment yako?? 🤣unataka mimi nikuambie jinsia yake..?
mimi sio limbea kihivyo!..😂
Kwann sasa unakataa majibu tunayokupa? 😹wapi nimesema nina majibu yangu..?
Angeniuliza mwenyewe tu direct aache kujikanyaga 😹unataka mimi nikuambie jinsia yake..?
mimi sio limbea kihivyo!..😂
Jinsia ya mtu ina mchango gani kwenye maisha yako mkuu? Tena sehemu km hii yenye fake IDs? 🤒Kumbe huyu ni ke
HaweziKwa hiyo mama au baba yako hawezi kukupa mapenzi
sawa kwenye frequency tupo pamoja, sasa vipi kuhusu kutafsiri giza kwa kutumia mwanga, kwanini unafikiri haiwezekani kutafsiri giza bila kugusa mwanga..?Kuhusu swali lako kuhusu giza kuwa na "frequency" giza kwa asili halina frequency. Giza ni ukosefu wa mwanga, na mwanga una frequency ambayo inahusiana na mawimbi ya nuru (light waves). Kwhy giza, kama giza lenyw halina frequency kwa sababu ni kutokuwepo kwa mawimbi ya mwanga. Frequency inahusiana na aina ya mawimbi, kama vile mwanga (ambao una wavelength na frequency), lakn giza lenyewe halina sifa hizi kwani ni ukosefu wa kitu kinachoweza kuhesabiwa kwa frequenc
Wanaweza bwana!!!Hawezi
Akili mnemba.mwambie ukweli inakuuma nilivyokumbia una akili mnemba sio kwamba tunamjadala...🤣
Achana nayeMsichana ambaye hana mtoto na anatarajia kuolewa na single father unamshauri vipi?
Frequency ndo kama kitu ganiKuhusu swali lako kuhusu giza kuwa na "frequency" giza kwa asili halina frequency. Giza ni ukosefu wa mwanga, na mwanga una frequency ambayo inahusiana na mawimbi ya nuru (light waves). Kwhy giza, kama giza lenyw halina frequency kwa sababu ni kutokuwepo kwa mawimbi ya mwanga. Frequency inahusiana na aina ya mawimbi, kama vile mwanga (ambao una wavelength na frequency), lakn giza lenyewe halina sifa hizi kwani ni ukosefu wa kitu kinachoweza kuhesabiwa kwa frequenc
mnamajibu mabaya...🤣Kwann sasa unakataa majibu tunayokupa? 😹
Heeeeh jamaniiiiiiiiPumbu zako zinatoa shahawa kiasi gani kwa round 1 wakati wa kuzagamuana?
kafanye utafiti wako kuhusu akili mnemba halafu uje hapa!, ila usije huku unalia jifutie machozi hukohuko!.Akili mnemba.
Ni tusi?
La kumuumiza mtu?
Tangu lini?
Come on man! 😂