DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 12,642
- 28,483
Giza anashinda Kote..Hapo ni km yai na kuku, kila moja anasema yeye ndo kaanza..!!
Kwenye Science Giza alianza!
Kwenye Dini Giza Alianza..
Philosophy Giza alianza
😀😀😀
Giza anashinda Kote..Hapo ni km yai na kuku, kila moja anasema yeye ndo kaanza..!!
Siku hz ni chatgptUmepiga kwenye mshono, tuone kama ana udole wa kukujibu.
Sijakuelewa mkuu.Siku hz ni chatgpt
Okay black.Aah OK nimekupata white
Nawezaje kuutambua mwandiko wa mkaka anayetumia id ya mdada hapa jf?Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
🤣🤣🤣🤣 Coca hapa umetisha Sana,duh!Pumbu zako zinatoa shahawa kiasi gani kwa round 1 wakati wa kuzagamuana?
Kumbe huyu ni keMomy haya maswali huyawezi unaona hata ulivyojibu!..🤣
Ati akili mnemba😂Ukiuliza swali la kijinga utapata jibu la kijinga pia. Unauliza swali kama unatumia akili mnemba unategemea nini?
Haya tulia sasa. Breath!
Uliza swali lako sasa bila mihemko!
Tungejuaje kuna giza kama kusingekuwa na mwanga? 😃
Hata kama mwanga usingekuwepo giza tungejua tu lipo kama nalo lipo kweli!, sidhani kama inahitaji mwanga kujua giza! ila inahitaji giza kujua mwanga!.I was just playing with you...mind games you know. Akili mnembaaa!
Ila ukiweka kitu hapa public, uvumilie tu kila aina ya majibu utakayopata maana usingeweza kujua kuwa hili ni giza kama kusingekuwa na mwanga 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Upendo hata kwa mama yako unapata, ila mapenzi utayapata kwa mwanamke au mume wako.Nini tofauti ya upendo na mapenzi
unataka mimi nikuambie jinsia yake..?Kumbe huyu ni ke
Kwa hiyo mama au baba yako hawezi kukupa mapenziUpendo hata kwa mama yako unapata, ila mapenzi utayapata kwa mwanamke au mume wako.
Mimi na KENZY tuna mjadala mrefu sana kuhusu matumizi ya akili mnemba kama tusi. Na mjadala huu utafikia kikomo siku akimwalika na mhusika mkuu 😂Ati akili mnemba😂
Kuhusu swali lako kuhusu giza kuwa na "frequency" giza kwa asili halina frequency. Giza ni ukosefu wa mwanga, na mwanga una frequency ambayo inahusiana na mawimbi ya nuru (light waves). Kwhy giza, kama giza lenyw halina frequency kwa sababu ni kutokuwepo kwa mawimbi ya mwanga. Frequency inahusiana na aina ya mawimbi, kama vile mwanga (ambao una wavelength na frequency), lakn giza lenyewe halina sifa hizi kwani ni ukosefu wa kitu kinachoweza kuhesabiwa kwa frequencKwanini kwenye kutafsiri maana ya giza lazima ndani yake watu hugusia mwanga..?
giza kama giza kwanini isiwe na tafsiri yake bila kugusia mwanga..?
is the darkness has frequency..?
if yes why..? and if no why..?
CCM sababu watanzania wamegoma kuamka..!!Uchaguzi wa mwaka huu chama gani kitashinda?