min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,323
- 127,375
Pombe tu hizo , nipo karatu , ugali upo wa kutosha ila sipendi tuHuko pia kuna ugali
Pombe tu hizo , nipo karatu , ugali upo wa kutosha ila sipendi tuHuko pia kuna ugali
Kwahiyo hauli ugali?Pombe tu hizo , nipo karatu , ugali upo wa kutosha ila sipendi tu
Magimbi viazi na mihogo navyo vinayeyuka?😁 Mkuu hilo tumbo blender?Wali, tambi, mikate, viazi, chipsi, makande, futari ni vyakula vya kikike kike siwezi na sitaweza kula kamwe!
Vyakula gani baada ya masaa mawili tu vimeshayeyuka tumboni?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Ndizi , viazi , mboga za majani wali kidogo , dagaa, tambi na nkKwahiyo hauli ugali?
Unakula nini sasa?
Ndiyomaana kila siku Me huwa tunasimangwa na Ke hatuna nguvu za kula papuchi, tumeota manyonyo badala ya kuwa na vifua. Dume zima linarembua na kulamba lamba mdomo likiongea na Ke...🙄😡Aisee!!
Kwahiyo unakaaje bila kula ugali? Tena mwanaume
Ndiyomaana kila siku Me huwa tunasimangwa na Ke hatuna nguvu za kula papuchi, tumeota manyonyo badala ya kuwa na vifua. Dume zima linarembua na kulamba lamba mdomo likiongea na Ke...🙄😡Aisee!!
Kwahiyo unakaaje bila kula ugali? Tena mwanaume
Magimbi ni miongoni mwa vyakula vya mizizi ambavyo sijawahi kuvielewa sawa na mboga iitwayo kabichi. Sasa kila siku nitakuwa nakula mihogo tu, seriously?Magimbi viazi na mihogo navyo vinayeyuka?😁 Mkuu hilo tumbo blender?
Mkuu kwahiyo leo ugali ukifutwa ndo bye bye 😂😂😂Ndiyomaana kila siku Me huwa tunasimangwa na Ke hatuna nguvu za kula papuchi, tumeota manyonyo badala ya kuwa na vifua. Dume zima linarembua na kulamba lamba mdomo likiongea na Ke...🙄😡
Ubinadamu ni kaziThe humanity is work.
Magimbi ni miongoni mwa vyakula vya mizizi ambavyo sijawahi kuvielewa sawa na mboga iitwayo kabichi. Sasa kila siku nitakuwa nakula mihogo tu, seriously?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ugali na mdudu haikwepeki 😂Mimi situmii ugali kabisa toka kidato cha tano ila nimemisi ugali na kitimoto 😋😋😋😋
Bila ugali?Ndizi , viazi , mboga za majani wali kidogo , dagaa, tambi na nk
Hapo sawaUgali na mdudu haikwepeki 😂
Kabisa, nilipokuwa Zoo nilikuwa nakamatia Ke kuanzia goli 4-7 huku Ke akienda 5 na kuendelea.Mkuu kwahiyo leo ugali ukifutwa ndo bye bye 😂😂😂
Ugali ufutwe tu
Ugali kwetu uchagani ni chakula cha mwisho , naona ndio sababu ya mimi kuto upenda ni wachaga wachache mno wanaopenda ugaliBila ugali?
Mtoto wa kiume?
Ugali ufutweHapo sawa
Hauna maana kabisa ufutwe tuUgali ufutwe
Nikiingia bungeni naanza na kufuta ugali kisha mapenziHauna maana kabisa ufutwe tu