Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Nikija kwako unipikie ugali wa mtamaMweeeeh! Ugali ninavyoupendağŸ˜ğŸ˜
Nikija kwako unipikie ugali wa mtamaMweeeeh! Ugali ninavyoupendağŸ˜ğŸ˜
Mtama uchanganywe na muhogo.Nikija kwako unipikie ugali wa mtama
Huko pia kuna ugaliNipo marekani nakulaje ugali?
Ndiyo na sangara mkubwa na pilipili na limaoMtama uchanganywe na muhogo.
Mi ata nisipokula wali wiki haina shidaKweli maishani tunatofautiana,
Mimi siwezi kukaa wiki bila kula ugali.
Bro, kwanini sioni ndizi kwenye menu yako aiseeeh' jombaa..??Chips, tambi, mihogo, viazi, chapati etc, ugali siupendi asee
Mimi nakula vyakula vyote.Mi ata nisipokula wali wiki haina shida
😂😂😂😂Ila mahindi unakula?
Nlizisahau tu nshaweka na ndizi broBro, kwanini sioni ndizi kwenye menu yako aiseeeh' jombaa..??
Nini lengo la huu uzi, mkuu?Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym
Lakini kweli,Ugali sio tunakula basi tu.
Nini lengo la huu uzi, mkuu?
Wali, tambi, mikate, viazi, chipsi, makande, futari ni vyakula vya kikike kike siwezi na sitaweza kula kamwe!Wali, tambi mbona vingi tu