Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
Utamu gani mkuu, chakula hakiliki bila mbogaIla ugali una utamu wake pia.
Utamu gani mkuu, chakula hakiliki bila mbogaIla ugali una utamu wake pia.
Kaka hicho kitiki umefanana na mbuzi zangu nimezifunga kengele huko manyara zipo 100+Kitovu kinadumbukia ndani
Daaah umenikumbusha enzi hizo home boonge la ugali na dagaa zina michuzi kama yote afu zimewekewa na binzari 😂😂😂😂🙌🙌🙌Tena haswa usukumani mpaka kando ya ukulya utotoni asubuhi unapewa ugali na Hindi la kuchemsha Usukumie.
Kaona ajisifie eti hali ugali!KAtika kosa nililowahi kufanya ni kujuana na wahaya! Siwapendi sana
Bora hata nmeona hii comment, nilkua naona aibu kuusifia ugali laini na mboga tamuuMweeeeh! Ugali ninavyoupenda😭😭
Acha ujinga Eva ..Ugali sio chakula......
Mi nimeanza kuukataa mdogo mdogo, yani mwaka huu ndio mwaka wangu wa mwisho kula ugali.
Umeleta Baba 😂😂😂😂Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Hapana sitegemei kuula tena hii june nimeula mara mbili, inatosha kabisa...... Sili tena ugali nauchukiaIna maana bado utaula tu Hadi mwishoni mwa huu mwaka si ndio😅
Jidanganye halafu lala bwashee ,likipita gari kali ita vijomba vyako mshindane lipi kali mangiJEIFU watu waongo sana,fake life imetawala humu 😀😀😀
Aisee!!Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Bro ugali sio, hata ukienda mgahawani ukiuliza kuna chakula, utaambiwa kimeisha umebaki ugali tu.....Acha ujinga Eva ..
Kwani ugali ndio nini ?Aisee!!
Kwahiyo unakaaje bila kula ugali? Tena mwanaume
Unakula chakula gani mkuu tofauti na ugali? Unaweza kuweka ratiba yako ya ulaji hapa ya wiki nzima?Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Hii nayo ni thread? Acheni kujaza server za JF kwa mambo yasiyo na umuhimu.Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?